FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2024
303 views 46 secs

*Amehimiza Wafanyakazi kushiriki michezo ili kuimarisha Afya na kuweka Mwili imara dhidi ya Magojwa Yasioambukiza Na; Mwandishi Wetu – Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Patrobas Katambi amefungua rasmi michezo ya Mei Mosi na kueleza umuhimu wa michezo hiyo katika kuimarisha afya za wafanyakazi. “Michezo ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2024
210 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuyapa kipaumbele masuala ya maendeleo ya vijana nchini. Aidha, Mhe. Katambi amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 21, 2024
279 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada maalum ya kuliombea Taifa inayotarajiwa kufanyika kesho, Jumatatu,  Aprili 22, 2024. Treni hiyo imeondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 8.53 mchana ikiwa na viongozi hao, waandishi wa habari, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 21, 2024
535 views 5 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni za TBC Taifa, azuru studio za Bongo FM- redio ya vijana Afunga tamasha la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua studio za kidijiti za redio ikiwa ni sehemu ya mradi wa maboresho ya studio za redio, televisheni na mitandao ya kijamii za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 19, 2024
268 views 2 mins

Imeshika nafasi ya Kumi kwa uzalishaji wa Kinywe Duniani Unamilikiwa na Mtanzania kwa asilimia 100 Mradi wa Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Kinywe wa GODMWANGA JEMS LIMITED uliopo katika eneo la Kwamsisi, wilaya ya Handeni Mkoani Tanga  unatajwa kuwa mradi wa kwanza Barani Afrika kwa uchimbaji na uchenjuaji wa Madini hayo na hivyo kushika nafasi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 19, 2024
384 views 2 mins

-Asema Sijaridhishwa na kasi ya Mkandarasi ujenzi wa barabara hiyo amtaka kufanya kazi usiku na mchana -Asistiza usafi wa mazingira pamoja kupanda miti na bustani ili kupendezesha jiji. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 18,2024 amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa BRT awamu ya tatu kutoka katikati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 19, 2024
363 views 2 mins

-Akerwa na mazingira ya uchafu Coco beach -Asema Coco beach ni ya wanyonge akemea uendelezaji usio na tija katika fukwe hiyo ya Coco beach Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila katika muendelezo wa ziara yake leo April 18,2024 amatembelea fukwe ya Coco beach Wilaya ya Kinondoni Jijini humo. Akiwa katika eneo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 19, 2024
287 views 3 mins

Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu  wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imefanya msako wa mamba  wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko. Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja akizungumza na waandishi wa habari katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 18, 2024
347 views 28 secs

Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miala ya kifedha  ambapo inauwezo wa kutumika sehemu yoyote Duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo wa ACB VISA, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo ,Silvest Arumasi amesema kwamba Benki ya ACB inafanya maboresho makubwa ya huduma za kifedha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...