FEATURE
on Apr 27, 2024
325 views 24 secs

NGARA Upo umuhimu mkubwa kwa wananchi kuzitunza barabara pamoja na alama za barabarani ili kuzifanya barabara kuwa salama kwa watumiaji wakati wote, imeelezwa. Hayo yamebainishwa na Meneja wa  Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Ngara Mkoani Kagera Mhandisi Makoro Magori wakati akielezea mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 26, 2024
397 views 46 secs

Zikiwa zimesalia siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, tumekuletea nukuu 3 za Rais Samia alipozungumza katika majukwaa tofauti juu ya umuhimu wa Tanzania kujitosheleza katika uzalishaji wa Mbegu na Miche bora 1. “Serikali imeviboresha vituo  vya utafiti na mashamba ya uzalishaji mbegu kutokana na kujiingiza kwenye masuala ya uzalishaji mbegu za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 26, 2024
409 views 13 secs

Zikiwa zimebaki siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wakulima nchini, tumekuandalia makala fupi uweze kufahamu faida za matumizi ya mbegu na miche bora katika kilimo cha kisasa na chenye tija 1. Matumizi ya Mbegu na Miche bora husaidia mazao kustahimili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 26, 2024
327 views 43 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi  ameipongeza Jumuiya  ya  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa waliyoifanya kuwaletea maendeleo wanawake na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuandaa mdahalo wa wanawake na Muungano. Pia, ameupongeza umoja huo kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 25, 2024
230 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu DODOMA 95.28% kuelekezwa kwenye maendeleo* Serikali kuja na Kanuni ya Uwajibikaji kwa wananchi Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia* Dkt. Biteko aagiza Halmashauri kupeleka fedha za Ushuru wa Huduma vijijini* Masharti ufunguzi wa vituo vya CNG yarekebishwa kuvutia uwekezaji* Kapinga atilia mkazo utekelezaji Nishati Safi ya Kupikia  na CNG* Bunge la Jamhuri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 25, 2024
347 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Tamasha kubwa kufanyika April, 25, 2024 katika viwanja vya Tanganyika Peckers Kinondoni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April, 24, 2024 akizungumza na vyombo vya habari Ofisini kwake amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafikisha miaka 60 ifikapo ijumaa April 26 mwaka huu, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 24, 2024
246 views 2 mins

-Akuta Madaktari waliopo kwenye mafunzo (internship doctors) katika maeneo mengi aliyotembelea -Ajionea Daftari la msamaha (exemption) lililopo Mwananyamala kuwa na mapungufu -Aahidi kufanya ziara Kama hizo Mara kwa Mara katika Hospitali hizo -Asisitiza Kuwachukulia hatua wazembe wote -Wagonjwa waelezea kuridhishwa na huduma -Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa akiri kupokea maelekezo na kuahidi kuyafanyia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 24, 2024
226 views 2 mins

Na Beatus Maganja Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Aprili 24, 2024 imepokea meli  ya watalii wapatao 230 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani  waliofika katika Hifadhi ya Urithi wa utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara kwa ajili ya shughuli za utalii. Meli ijulikanayo kwa jina la “Silver Clouds” […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 24, 2024
320 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Watuhumiwa watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani jana tarehe 22 Aprili, 2024  wakikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methemphetamine Kilogramu 424.84 pamoja na Heroin Hydrochloride gramu 158.24 kinyume cha kifungu cha 15 (1) (a) na cha (3) (i) cha Sheria ya Kudhibiti na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 24, 2024
378 views 2 mins

📌 Majiko banifu kusambazwa Kaya za Vijiji na Vijiji-Miji 📌  Wazalishaji wa mkaa mbadala kupewa ruzuku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa katika mwaka 2024/25 Serikali itaendelea kutekeleza hatua madhubuti za kuimarisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia nchini. Amesema hayo leo Aprili 24, 2024 bungeni jijini Dodoma […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...