FEATURE
on May 2, 2024
374 views 33 secs

“Sekta ya Kilimo katika mwaka 2023 ilikua kwa asilimia 4.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 3.3 mwaka 2022. Vilevile, Sekta ya Kilimo imechangia asilimia 26.5 katika Pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, imetoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa asilimia 65.6 na kuchangia asilimia 65 ya malighafi za viwanda.” Mhe. Hussein Bashe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 1, 2024
356 views 2 mins

*Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi* Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo leo Mei 01,2024 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewafurahisha watumishi wa Umma kwa kuonesha nia ya Serikali ya kuendelea kuwapandisha madaraja, kuendelea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 1, 2024
277 views 24 secs

Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli katika mkoa wa Arusha kwa lengo la  kujifunza Uhifadhi wa wanyamapori na kujionea shughuli za Utalii. Ziara hii ya mafunzo imefanyika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa  _”Tuhifadhi Maliasili”_ unaoratibiwa na Chama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 30, 2024
236 views 2 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili kuanza kuchukuliwa hatua kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa daraja hilo na barabara unganishi. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 30, 2024
310 views 14 secs

Hii ndio hali halisi ya maandamano yaliyogonga mwamba baada ya wananchi wa Moshi kususia wito wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, kadhia hii imepelekea aliyekuwa mgeni rasmi Ndugu Freeman Mbowe kutoshuka ndani ya gari kwa hasira akilaumu uongozi wa Mkoa kwa kushindwa kushawishi watu wengi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinapitia wakati mgumu katika mikutano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 29, 2024
177 views 3 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni – Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma bora kwa wananchi wanaotumia usafiri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 29, 2024
280 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongezwa kwa ujenzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 28, 2024
279 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS Mikoa yote kuendelea kufanya ukaguzi wa madaraja na makalvati pamoja na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 27, 2024
186 views 3 secs

Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza  paipu kalavati  kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika  wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Nicholas Francis amesema tayari wamepokea fedha za dharura takriban milioni 477 kwaajili ya kununua vifaa vya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 27, 2024
237 views 3 mins

Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu* Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi hususan shule binafsi ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Akizungumza katika Mkutano Mkuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...