FEATURE
on May 20, 2024
319 views 2 mins

Tanzania na China zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa

miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja kwa kuyawezesha Makampuni ya Tanzania kupewa sehemu ya kazi za ujenzi kutoka kwa Makampuni ya Kichina yatakayopewa kazi ya kutekeleza miradi ya ujenzi nchini. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Mei 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 20, 2024
251 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH Dr AMOS NUNGU amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya kukuza bunifu za kisayansi na teknolojia kwa vijana hivyo kuwahimiza vijana kuendelea kuwasilisha bunifu zao ili ziendelezwe na kuleta tija kwa taifa Akizungumza hii leo Jijini Dar […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 18, 2024
208 views 35 secs

Na Madina Mohammed IRINGA WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA) kwa mara ya tatu leo imetoka tuzo kwa Waandishi wa habari bora wa Uandishi wa habari za dawa, vifaa tiba, vitendanishi na bidhaa za tumbaku. Akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo hizo ambazo pia ziliambatana na Kikao kazi Cha Wahariri […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 18, 2024
320 views 33 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Jumuiya

ya mitandao ya kijamii Tanzania JUMIKITA Kwa kushirikiana na TAHLISO wameandaa kongamano la wanahabari wa mitandao ya kijamii nchini litakalofanyika tarehe 20 Mei 2024 Katika ukumbi wa maktaba ya chuo kikuu Cha Dar es salaam” Hayo ameyasema Leo Tarehe 18 Mei 2024 Mwenyekiti wa jumuiya ya mitandao […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 18, 2024
422 views 3 mins

Ampongeza Rais Samia kinara nishati safi* Awataka

wananchi wa Msomera kubeba ajenda ya nishati safi* Matumizi ya kuni sasa basi Msomera* Serikali yagawa majiko banifu na gesi, yagharimu zaidi ya milioni 200* Na Madina Mohammed WAMACHINGA Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Judith Kapinga, amewataka wananchi wa Msomera kuhakikisha wanaibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 17, 2024
272 views 2 mins

Na Mwandishi wetu Wamachinga -Amtaka Naibu kamishna

wa Ardhi Mkoa kuanza utaratibu wa kupima mara moja. -Aagiza waliofoji nyaraka wachukuliwe hatua Kali za kisheria -Awataka wenyeviti na Watendaji wa kata na mitaa kutokuwa sehemu ya migogoro. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametangaza rasmi eneo la Muhimbili-Pemba Mnazi Wilaya ya Kigamboni […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 17, 2024
305 views 5 mins

Kilolo, Iringa. Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani

Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalang’ombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua kiuchumi. Wakiongea kwa wakati tofauti wananchi hao wamesema kwamba baada ya kukamilika kwa Barabara hiyo yenye urefu wa […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 16, 2024
293 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba  amewataka Waandishi wa Habari nchini kuripoti habari sahihi ilikuepuka taharuki ikiwemo suala la kuripoti habari za dawa na vifaa tiba ambalo lipo chini ya Mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA) Akifungua kikao kazi hiko, mapema leo Mei 16, 2024 kilichowakutanisha […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 16, 2024
313 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu Beijing Kampuni ya  Touchroad Holding Group ya nchini China inayojihusisha  na kuziunganisha nchi za Afrika na fursa mbalimbali zilizoko nchini China hasa utalii, biashara na uwekezaji itazindua safari za ndege kati ya Tanzania na China kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...