FEATURE
on May 7, 2024
319 views 54 secs

JIJINI DODOMA “Vipaumbele vya Wizara Elimu kwa mwaka wa fedha 2024/25 ni kama vifuatavyo: Kuendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, mapitio ya sheria na kuandaa miongozo ya utoaji elimu na mafunzo nchini Kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (amali na amali sanifu); Kuongeza fursa na kuimarisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 7, 2024
334 views 33 secs

JIJINI DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda alivyowasili Bungeni jijini Dodoma tayari kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ina kauli mbiu inayosema ‘Elimu ujuzi ndio mwelekeo’ ikiwa na maana msisitizo na mkazo katika mitaala yetu utajikita […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 6, 2024
311 views 6 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. “’Utashi wa kisiasa wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mfumo wa utoaji wa Haki Jinai lazima udhihirike kwenu ninyi viongozi mlio […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 6, 2024
220 views 2 mins

MTWARA LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, kuhakikisha wanakamilisha kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam ndani ya saa 72. Waziri Bashungwa ameeleza hayo, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 6, 2024
253 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Jumanne Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 4, 2024
291 views 55 secs

JIJINI DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kufuatia Wizara ya Kilimo kutangaza katika kuendelea na mkakati wa kuendelea na zoezi za usambazaji wa mbolea ya ruzuku nchini katika mwaka 2024/2025, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka ameipongeza Wizara hiyo kwa hatua zake za madhubuti za kuhakikisha Wananchi wa Mkoa wa Njombe wanaendelea kupata mbolea ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 4, 2024
331 views 3 mins

Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam katika kusimamia mifumo ya kisheria ya haki jinai tarehe 21 Novemba, 2022  mtaa wa Mbozi Temeke lilimkamata Lusekelo Kalinga (47) Mkazi wa Sinza na hatimaye akafikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam. Baada ya mashauri yake kusikilizwa tarehe 2 Mei, 2024, mshtakiwa huyo alipatikana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 4, 2024
327 views 40 secs

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , kuthibitisha ubora wake pamoja na kusajili maeneo yanayohusika na uzalishaji, uuzaji na uhifadhi kwa mujibu wa matakwa ya sheria ya viwango Sura ya 130 ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza. Wito huo umetolewa leo Mei 3, 2024 Jijini Dar es […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 4, 2024
345 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya  maendeleo. ya kilimo  (TADB) imetoa  mafunzo ya mikopo kwa wataalamu wa kilimo nchini ikiwa na lengo Mahususi la kuweza kuhudumia watu mbalimbali Katika huduma za kilimo huku washiriki kutoka Burundi wameweza kushiriki Katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Benki ya kilimo kwa kushirikiana na Benki mbalimbali nchini. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 3, 2024
283 views 11 secs

JIJINI DODOMA Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema lengo la Wizara kuweka maonyesho katika viwanja vya Bunge ni kuonesha Umma mabadiliko chanya ambayo  Wizara imekuwa ikiyafanya katika Sekta ya Kilimo kuanzia katika ngazi ya tafiti mpaka katika ngazi ya uwekezaji ya kuongeza thamani ya mazao. “Tunaonesha watu namna ambavyo tunaendesha Sekta ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...