FEATURE
on Mar 7, 2025
54 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia* ๐Ÿ“Œ *Afunga Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika Mashariki* ๐Ÿ“Œ *Ataka Rasilimali na Mafuta na Gesi Asilia kuchangia maendeleo ya Sekta nyingine* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
49 views 3 mins

ย NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies,ย  Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. ย Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG kwa ajili ya kujaza gesi kwenye magari na viwanda […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
38 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WITO umetolewa kwa wanawake nchini katika kusherekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani,kujenga mazoea ya kutembelea hifadhi mbalimbali zilizopo nchini kwa lengo la kujifunza na kujijengea uzoefu wa kuangalia vivutio mbalimbali. Wito huo umetolewa jana jijini Dar es Salaam na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Zone ya Dar es Salaam kutoka Shirika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
49 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) yaonesha tafiti ya gesi ASILIA imetumika Kwa Kiasi kikubwa Katika usafirishajiย  na usafiri Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano kutoka Ewura, Wilfred Mwakalosi wakati akiwasilisha ripoti ya utafiti waliofanya katika Kongamano la 11 na Maonesho […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
41 views 2 mins

*Na Charles Kombe, Dar es Salaam* Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, linategemea kuongeza fursa ya kuzalisha umeme kupitia vyanzo mseto kupitia Kongamano la 11 la Petroli la Afrika Mashariki linaloendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC). Hayo yamebainishwa Machi 4 na Meneja Utafiti TANESCO Mha. Samwel Kessy wakati akieleza juu ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
52 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema Sekta ya Mafuta nchini imeimarika* ๐Ÿ“Œ *Ataja miradi ya kimkakati ujenzi wa mabomba ya gesi na mafuta* Kamishna wa Petroli, Goodluck Shirima amesema kuwa, Tanzaniaย  imejipanga vyemaย  kutengeneza sera rafiki zitakazozidi kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Mafuta na Gesi Asilia ambazo zitawezesha pia kupata mitaji ya kuendesha Sekta kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
37 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa Wananchi* ๐Ÿ“Œ *Afanya mazungumzo na kampuni Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-Mbagala* ๐Ÿ“Œ *Aikaribisha kampuni ya CNOOC ya China kushiriki Duru a Tano Vitalu vya Mafuta na Gesi Asilia* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
38 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kufikisha bidhaa hizo katika Maonesho yanayoendelea mkoani humo kuelekea Siku ya Wanawake Duniani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti Machi 6, 2025 mara baada ya kutembelea Banda la REA na kushuhudia teknolojia mbalimbali za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
42 views 10 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema umeme ni nishati nafuu zaidi kupikia na kuwahimiza Wanzania kutumia fursa ya uwepo wa umeme katika kila Kijiji na kutumia nishati hii kupikia ambapo watapunguza gharama pamoja na kutunza mazingira. Mha. Gissima ameyasema hayo Machi 4, 2025 katika Kongamano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
45 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Viongozi wa Taasisi na Mashirika wanawajibika kuchangia juhudi za Serikali katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kuandaa na kutekeleza mikakati itakayosaidia kupunguza uzalishaji wa gesijoto na kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makamu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...