Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Baada ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wakeย Mohammed Ali Kawaida kuitaka Serikali kupitia Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kufungia Mtandao wa X ambao Zamani ulijulikana kama Twitter kutokana na mtandao huo kuruhusu mambo ambayo ni kinyume na Utamaduni wa Watanzania Leo Juni […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *๐ Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa* *๐ Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati* *๐ Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amekutana na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐ *Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika ๐ * Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati ๐ Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishatiย Mhe. Dkt Doto Biteko,ameieleza jumuiya ya wafanyabiashara wa ujerumaniย na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanaoย kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa msaada wa Baiskeli 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kupata elimu . Akizungumza na Waandishi wahabari leo Juni 11, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Steve Nyerere amesema […]
Na Mwandishi wetu -Barcelona,Hispania Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya IFEMA ya Madrid, Hispania inayojihusisha na uandaaji wa Onesho linaloongoza duniani la Feria Internacional de Turismo (FITUR) lengo ikiwa ni kuangalia namna bora ya kuboresha ushiriki wa Tanzania katika Onesho hilo […]
Na mwandishi wetu WAMACHINGA -Akagua maendeleo ya barabara ya Tabata Mazda hadi Kimanga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 10 ,2024 amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mazda kimanga Km 3.7 Wilaya ya Ilala. RC Chalamila amefanya ukaguzi huo kufuatia ahadi aliyoitoa kwa wananchi wakati […]
Na Madina Mohammed ARUSHA Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini ikiwa ni pamoja na kudhibiti wa wanyama wakali na waharibifu, Marafiki wa Serengeti Uswisi “Friends of Serengeti Switzerland” wametoa msaada wa mahema 20, mabegi ya kulalia “Sleeping bags” 20 yenye thamani ya Shillingi Millioni thelathini laki tisa […]
Na Mwandishi wetu DAR ES SALAAtM Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Hayo yamebainishwa leo tarehe 10 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa […]
Asisitiza hakuna mgawo wa umeme* Amshukuru Rais Samia kuiimarisha Sekta ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, kwa sasa nchi ina umeme wa kutoshaย kuwawezesha Watanzania kufanya shughuli zao za kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo leo Juni 9, 2024 wakati alipoungana na Waumini wa Kanisa la AIC […]
Na Mwandishi wetu, Zanzibar Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani-Zanzibar Bi.Safia Iddi Muhammad imemtangaza Bw.Khamis Yussuf Mussa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani. Mussa almaarufu Pele ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya kupata Kura 7,092 Kati ya […]