FEATURE
on Jun 19, 2024
234 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi* ๐Ÿ“Œ *Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursaย  kwa Maafisa* ๐Ÿ“Œ *Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri* ๐Ÿ“Œ *Dkt. Mataragio asisitiza ushirikiano na kuzingatia muda* Katibu Mkuu wizara yaย  Nishati, Mhandisi Felchesmi Mrambaย  leo 18 Juni, 2024 amekutana naย  Wafanyakazi wa Wizara ya Nishatiย  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 18, 2024
197 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme* ๐Ÿ“Œ *Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme* DODOMA Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitiaย  Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) inatekeleza Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo Mkubwa wa Kilovolti 400 waย  Tanzania na Zambia (TAZA) kupitia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 18, 2024
340 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo* ๐Ÿ“Œ *Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe* ๐Ÿ“Œ *TANESCO yatoa huduma moja kwa moja ikiwemo ya Nikonekt* ๐Ÿ“Œ *Wananchi wajulishwa haki zao kupitia EWURA CCC* Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zilizo chini yake imeshiriki kwaย  mafanikio katikaย  Maadhimisho […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
282 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi na kuchocheaย  kukua kwaย  uchumi wa Taifa. Ameyasema hayo Juni 14 ,2024 Jijiniย  Dodomaย  Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Akiba Bw Silvest Arumasi wakati wa kuhitimishaย ย ย  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
309 views 35 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Atoa salamu za Mkoa,asema utulivu ulioko katika Mkoa unatokana na viongozi wa Dini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 17,2024 ameshiriki swala ya Eid Al-Adha Kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Kinondoni Jijini humo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
368 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM MCHAMBUZI wa Masuala ya Kisiasa na Kijamii Dkt. Dennis Muchunguzi amemshangaa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuzungumzia maelezo yake aliyoyapeleka kwa Spika juu ya sakata la uagizaji Sukari, kabla ya Spika na Bunge kutoa kauli. Hivi karibuni Bungeni jijini Dodoma Mbunge wa Kisesa kwa Tiketi ya Chama cha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
202 views 6 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisasa ๐Ÿ“ŒWafugaji wahimizwa kushiriki maonesho ya mifugo kuboresha ufugaji wao ๐Ÿ“Œ Wafugajiย  na wakulima waaswa kuondokana na migogoro ๐Ÿ“Œ Wafugaji watakiwa kutumia Maafisa Ugani kwa ufugaji wa tija *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 15, 2024
284 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao kufuatia jitihada kubwa zinazotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) za kufikisha huduma ya maji kwa uhakika. Diwani Kata ya Sinza Ndugu Raphaeli Awino ameeleza hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 15, 2024
244 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Asema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji wa ndani na nje ili kupanua wigo wa ajira na mapinduzi ya kiuchumi -Asema katika kila kiwanda ndani ya Mkoa huo kuhakikisha sehemu ya faida inarejeshwa kwa jamii -Ashiriki kupanda miti kuhamasisha jamii na wadau kutunza mazingira Mkuu wa Mkoa wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 15, 2024
227 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema kampeni hiyo ni ya siku 10 itaanza Juni 20-30,2024 -Abainisha kampeni hiyo inatarajia kuwafikia wananchi zaidi ya elfu kumi -Atoa rai kwa wakazi wa DSM kujitokeza kwa wingi kupima afya zao Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 14, 2024 ametangaza kampeni kabambe ya kupima […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...