FEATURE
on Mar 12, 2025
41 views 13 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aliyekuwa Rais wa Uganda marehemu Idi Amin alitaka kubadilisha jina la Uganda kuwa IDI. Kila mtu katika baraza la mawaziri alikubali. Sababu ni kuwa ‘Walimwogopa’. *Lakini kulikuwa na mtu mmoja, Malyamungu.* Akamwambia Amin “Mhe Rais unaijua nchi inayoitwa Cyprus?” Basi Amin akamuuliza “Hivyo Cyprus ina uhusiano gani na Mabadiliko ya Uganda, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
43 views 2 mins

-Asema ni muhimu kuelewa vizuri mfumo wa uboreshaji Kaya masikini  sambamba na taaluma ya ujasiriamali ili kuepuka kutumia pesa bila kuzalisha. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 12, 2025 katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo wakati akizindua zoezi la malipo ya Ruzuku kwa walengwa wa mpango wa kunusuru […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
47 views 3 mins

*๐Ÿ“ŒAwapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure* *๐Ÿ“ŒAsema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja kuimarisha huduma kwa wateja na kutatua changamoto zao* *๐Ÿ“ŒAwaagiza Mameneja wa Mikoa na wilaya wa TANESCO kuwasimamia watoa huduma* *๐Ÿ“ŒAwaasa watanzania kutumia namba hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo* […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
28 views 4 mins

๐Ÿ“ŒAfafanua kuuuza na kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchi ๐Ÿ“ŒAsisitiza kununua umeme kwa Mikoa ya Kaskazini kunamanufaa kwa Mikoa husika ๐Ÿ“ŒAsema kukamilika kwa Mradi wa TAZA kutainufaisha Tanzania na biashara ya umeme Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametoa Ufafanuzi zaidi kuhusu hatua ya Serikali kununua Umeme nchini Ethiopitia kupitia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
36 views 11 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Barbados kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi ya Nishati endelevu utakaofanyika katika jiji la Bridgetown kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi, 2025. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grantley Adams nchini humo, Dkt. Biteko amepokelewa na Waziri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
36 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Aagiza uhakiki wa madai ya Bi Martha ufanyike haraka kwa kuzingatia nyaraka stahiki. -Aguswa na utafutaji wa Bi Martha amchangia milioni 2 ya kwake binafsi kama mtaji -Atoa rai kwa wananchi kuwa na nyaraka stahiki pale wanapofanya kazi na Serikali Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 10, 2025
34 views 16 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 9, 2025
38 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒAsema Ajenda ya Nishati Safi ni ajenda ya Nchi hivyoย  tunaisimamia Afrika. ๐Ÿ“ŒNishati ni Mpango wa Maendeleo endelevu ๐Ÿ“ŒUmeme umesambazwa Vijiji vyote nchini *๐Ÿ“Arusha* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassanย  amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika. Amesema hayo wakati akizungumzaย  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
50 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wafanyabishara wa nyama choma Jijini Arusha wamesema kuwa  uchomaji nyama kwa kutumia majiko ya Nishati Safi ya kupikia kumerahisisha zoezi la uchomaji na kuongeza ladha ya nyama. Wamesema kuwa majiko  hao yamekuwa yakichoma kiasi kikubwa cha nyama kwa Muda Mfupi tofauti na awali walipokuwa wakitumia majiko mengine. Wamesema pamoja na Gesi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...