FEATURE
FEATURE
on Jul 2, 2024
205 views 56 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Maji Juma Aweso amesema serikali kupitia Wizara ya Maji ipo kwenye mchakato wa kuweka luku ya maji ambayo itaenda kutatua tatizo la wananchi kupatiwa bili ambazo si sahihi kulingana na matumizi yao Ametoa kauli hiyo leo Jijini Dar es salaam akiwa katika ziara yake jijini humo ambapo amepata wasaa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 1, 2024
255 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanavyoendeleza umoja miongoni mwao. Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 1, 2024
319 views 5 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Aliyekuwa Mgombea waย  nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC) Doyo Hassan Doyo amesema hayatambui matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Shaban Itutu kama Mwenyekiti wa Chama kutokana na uchaguzi huo kutozingatia katiba ya Chama hicho. Doyo Hassan Doyo ambaye alionekana kutokuwa na upinzani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 1, 2024
231 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa na miradi isiyokidhi viwango hivyo hatakuwa tayari kuona miradi hiyo inaiangusha serikali na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mndolwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 29, 2024
160 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Meiย  hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda wa Bahari ya Hindi. Katika ufuatiliaji huo kikosi kazi cha Polisi Wanamaji Dar es salaam kikitumia boti za Polisi walifanikiwa kukamata majahazi mawili, MV. UKIMAINDI POA na jahazi lingine lisilokuwa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 29, 2024
334 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetaka wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kutumia njia mbadala ya uchenjuaji na kuacha matumizi hatarishi ya kemikali ya zebaki ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu na Mazingira. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira NEMC Dkt. Menan Jangu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 28, 2024
188 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Heshimuni matumizi ya fedha za miradi* Wizara iwasaidie vijana kuanzisha kampuni na kuwapatia kazi ndogo ndogo ili kuwajengea uzoefu* Makandarasi wazawa kupewa kipaumbele katika malipo ya kazi walizofanya* Wakandarasi wanawake wapongezwa* ๐Ÿ“Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 28, 2024
298 views 28 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kijiji cha Bima kimezinduliwa rasmi leo, Juni 28, 2024, katika Maonesho ya 48 ya Sabasaba yanayofanyika Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) na wadau wake wamekusanyika katika tukio hili muhimu kuashiria umoja wao katika sekta ya bima, wakilenga kuboresha huduma za bima kwa Watanzania na kuhakikisha soko […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 28, 2024
380 views 2 mins

Na Happiness Shayo Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa katika kuhakikisha kunakuwapo na vyanzo endelevu vya uzalishaji wa mbegu bora za miti sambamba na ulimaji miti hiyo kibiashara, Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeanzisha upandaji wa miti jamii ya Mninga katika mashamba yake ya Miti […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...