FEATURE
on Jul 4, 2024
344 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Asema uchumi wa buluu ni shughuli zote za kiuchumi zinazohusiana na Bahari, Maziwa Makuu na rasilimali zake Uchumi wa Buluu mchangiaji mkubwa wa maendeleo Wizara na Taasisi za Serikali zatakiwa kushirikiana na DMI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 4, 2024
291 views 48 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo  Nchini, kwa kuzingatia hilo jana  Kamati  ya usimamizi wa Dira. Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 3, 2024
172 views 57 secs

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini (Mb) ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuweka vionjo vya utalii wa utamaduni hasa wa kabila la Wazanaki kama nyumba na vitu vya asili vya kabila hilo lenye asili ya Butiama, Mkoani Mara. Ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Sabasaba mara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 3, 2024
197 views 46 secs

Na Richard Mrusha MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwaka wa fedha wa  2023/2024 imeweza kukusanya shilingi trilioni 27 .64 nakuipa fursa Serikali kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo na kustawisha maisha ya watanzania pasipo na wasiwasi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai Mosi, 2024 na aliyekuwa  Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata, imesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 3, 2024
270 views 3 mins

Na MADINA MOHAMMED WAMACHINGA DAR ES SALAAM Chuki ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani. Ni kinyume cha upendo. Kuchukia mambo mabaya ni jambo la kustawisha utu na kujenga afya ya mwanadamu lakini kuchukia mambo mema ni jambo la kudidimiza utu na ustawi wa mtu na jamii inayomzunguka. Wataalamu wa saikolojia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 3, 2024
252 views 3 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama msingi wa maendeleo endelevu kupitia Sera […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 3, 2024
222 views 5 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Mageuzi ya Vijana Tanzania (AGRA) imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Sera wa Vijana na Ubadilishaji wa Mifumo ya Chakula, ambao utawakutanisha wawakilishi wa vijana, washirika wa utekelezaji, na wadau muhimu katika mlolongo wa thamani ya mifumo ya chakula ili kuwezesha mazungumzo na vijana ili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 2, 2024
385 views 3 mins

Tanzania imekuwa kinara katika programu ya kizazi chenye usawa ambapo imechaguliwa kuingia katika bodi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusu wanawake (UN WOMEN) kati ya nchi saba (7) duniani zilizochaguliwa kuingia, huku Tanzania na Afrika Kusini ndo nchi pekee katika Bodi hiyo kutoka Bara la Afrika. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 2, 2024 jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 2, 2024
249 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka watumishi wanaotarajiwa kustaafu kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuhakiki taarifa zao za msingi sambamba na kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha hali itakayosaidia kupunguza changamoto za maisha pindi wanapostaafu Rai hiyo imetolewa na meneja wa mafao wa NSSF Ilala wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 2, 2024
286 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA LINDI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema matokeo ya sensa yanapaswa yawafikie watendaji na walengwa wote katika ngazi ya mkoa na Halmashauri na yawe msingi wa rejea katika kufanya maamuzi yote ya kibajeti, kupanga miradi ya maendeleo na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kisekta. Ametoa agizo hilo leo Julai 2, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...