FEATURE
on Jul 6, 2024
304 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amehamasisha Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika Sekta ya Misitu, Nyuki na Utalii ili kujiongezea kipato na kupata ajira. Ameyasema hayo leo Julai 5,2024 alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2024
317 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KUFUATIA upotoshaji unaoendelea kutolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na ufahamu juu ya sheria mpya ya sukari, Bodi ya Sukari Tanzania imesema kupitishwa kwa sheria hiyo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaenda kutowesha mfumuko wa bei ili isimuumize mwananchi, upatikanaji wa uhakika, uwazi katika usambazaji wake pamoja na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2024
304 views 44 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA BODI ya Sukari nchini Tanzania imesema msimamo wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwalinda wananchi, wakulima, wawekezaji na wadau wengine muhimu kwa kuhakikisha inafanya maboresho makubwa kwa maslahi ya Watanzanaia wote. Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania Profesa Kenneth Bengesi, aliwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2024
155 views 18 secs

Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amekutana na wanahabari kutoka Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) ambapo amewaasa kutumia vizuri majukwaa yao ya habari mtandaoni kujipatia kipato kukuza maisha yao. Waziri Nape ameyasema hayo alipokutana na wadau wa jumuiya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2024
345 views 56 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus ametembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea kwenye Uwanja wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar Es Salaam leo tarehe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2024
141 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwananchi Communications Ltd yapongezwa kwaย  ubunifu Kongamano la Wajasiriamali wadogo na wa kati kuibua fursa (MSMEs) Serikali kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imetoa mikopo ya shilingi bilioni 108.43 ili kuwezesha uanzishaji na uendelezaji wa viwanda vya uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na mifugo nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 4, 2024
202 views 6 mins

NA MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu imejipanga kuhakikisha inaendelea kuwafikia wananchi wanaopata huduma katika banda jumuishi la ofisi hiyo wakati wa maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba kwa kuhakikisha wanapewa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 4, 2024
306 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo yamebainikaย  leo Julai 4,2024 wakati wa kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 4, 2024
176 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imepokea taarifa ya Utafiti wa Madini ya Dhahabu unaofanywa na Kampuni ya Twiga Corporation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali kwa asilimia 16 na Kampuni ya Barrick Tanzania Limited kwa asilimia 84 ikiwa ni utaratibu kwa Serikali kupokea taarifa za maendeleo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 4, 2024
225 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu UVCCM (MNEC) Jokate Mwigelo amewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika uwanja mkapa (Lupaso)  jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni maalum ambayo imelenga kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura. Wito huo ameutoa jijini Dar es Salaam wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari ambapo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...