FEATURE
on Jul 7, 2024
400 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mjumbe wa NEC, Idara ya Organization wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Gavu amewataka vijana kujitokeza Kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kushiriki kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi za Serikali za Mitaa na Vitongoji utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Wito huo huo ameutoa leo, Julai […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
274 views 57 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amesisitiza kwamba Chama hicho hakiwezi kujitenga na Matatizo ya Wananchi, hivyo amewataka watendaji wa Serikali wakiwemo Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kuendelea na Utaratibu wa kutenga muda ili Kusikiliza na Kutatua kero mbalimbali za Wananchi. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
242 views 2 mins

-Asikikiliza maoni na ushauri katoka pande zote mbili wafanya biashara wakubwa na machinga-Aelekeza kuundwa kamati ambayo itaongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 06,2024 amekutana na kufanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara wakubwa na machinga wa kariakoo katika ukumbi wa Arnatoglo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
303 views 4 mins

Dkt. Biteko azitaka Kampuni za ushirika kurejesha rasirilimali kwa jamii Maafisa ushirika watakiwa kutengeneza Sura ya Ushirika Benki ya Ushirika wa mazao kuanzishwa Watanzania wanahimizwa kujisajili kwenye Bima ya mazao Serikali imetoa  bilioni 13 ruzuku kwa wakulima wa Tumbaku *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
322 views 2 mins

-Asema Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa pamoja na Wajumbe Watano [5] -Ataja sifa muhimu za Mwananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi huo -Abainisha uhakiki wa Maeneo ya Kiutawala Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 06,2024 amekutana na waandishi wa habari ofisi kwake Ilala Boma kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
276 views 42 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Mikoa na Ugatuzi kutoka nchini Zimbawe, Mheshimiwa Ezra Chadzamira ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini yake na kueleza kuwa Tanzania na Zimbabwe zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo na uvuvi. Ametembelea banda hilo tarehe 06 Julai, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
325 views 3 mins

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni  kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo  inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
195 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema upatikanaji wa fedha hizo utawezesha upanuzi na ukarabati wa majengo ya Hospitali hiyo ya Rufaa ya Mkoa -Atoa rai kwa wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi kuchangia -Abainisha kilele cha Harambee hiyo ni Agosti 31,2024 katika ukumbi wa Mlimani City Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albaert Chalamila leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2024
304 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amehamasisha Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika Sekta ya Misitu, Nyuki na Utalii ili kujiongezea kipato na kupata ajira. Ameyasema hayo leo Julai 5,2024 alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2024
317 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KUFUATIA upotoshaji unaoendelea kutolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na ufahamu juu ya sheria mpya ya sukari, Bodi ya Sukari Tanzania imesema kupitishwa kwa sheria hiyo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaenda kutowesha mfumuko wa bei ili isimuumize mwananchi, upatikanaji wa uhakika, uwazi katika usambazaji wake pamoja na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...