FEATURE
on Jul 9, 2024
312 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TABORA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia Julai  20 hadi 26,2024. Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
255 views 2 mins

Na Happiness Shayo Morogoro Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wmetakiwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo iliyopo katika kuongeza tija na kuboresha utendaji kazi wa Mamlaka  hiyo. Rai hiyo imetolewa leo Julai 8,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) katika kikao chake na Menejimenti ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
218 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Selemani Jafo amesema atahakikisha viwanda vyote vilivyowekezwa Tanzania anavisimamia ili viendelee kuzalisha na kuchangia uchumi na ajira kwa Watanzania. Dkt. Jafo ameyasema hayo Julai 08, 2024 alipotembelea Kiwanda cha Mbolea cha Itracom Fertilize Limited kilichopo Dodoma ikiwa ni baada ya kuingia ofisini kwake. Alisema jitihada […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
214 views 31 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo amemuagiza Mkandarasi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuongeza kasi ya ukamilishaji wa jengo la wizara hiyo kwa wakati. Dkt Jafo aliyasema hayo wakati alipotembelea Jengo la Wizara hiyo kugagua ujenzi unaoendelea mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo Julai […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 9, 2024
232 views 59 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo aliwasisitiza wafanyakazi wa wizara na taasisi zilizochini yake kufunga mkanda kuhakikisha sekta ya viwanda na biashara zinapiga hatua. Dkt. Jafo aliyasema hayo Julai 08, 2024 wakati akiongea na Menejimenti na Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara  wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 8, 2024
374 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Ampongeza Dkt. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi* Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe* Aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa* Kapinga asema Wizara haitakuwa kikwazo cha wananchi kupata umeme wa uhakika* Makamu wa Rais, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango  ameipongeza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 8, 2024
235 views 24 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katibu wa itikadi na mwenezi na mafunzo CPA Amos Makala Amesema Jitihada za serikali ni kuona uboreshaji wa huduma Kwa wananchi wao Ameyasema hayo Leo Tarehe 08 Julai 2024 Katibu wa itikadi na mwenezi na mafunzo CPA Amos Makala Akiwa Katika ziara yake ya pili ya kusikiliza kero […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 7, 2024
301 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa viwanda na biashara Suleiman jafo Leo ametembelea Katika maonyesho 48 ya Kimataifa ya Sabasaba ambayo yanakuwa Kwa kila mwaka wa mwezi wa Saba na watu wa mataifa wote wanakuwa hapo Kwa ajili ya kutangaza biashara zao Waziri wa viwanda na biashara Suleiman jafo Amesema Katika maonesho […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 7, 2024
243 views 3 mins

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb)  ameihakikishia sekta binafsi hususani  Wafanyabiashara naWawekezaji wa Viwanda kuwa watapata ushirikiano mkubwa  katika kutatua changamoto mbalimbali za kibiashara ili kuhakikisha wanafanya biashara kwa chini ya uongozi wake. Ameyasem hayo Julai 5, 2024,  alipokuwa akizungumza na baadhi ya Taasisi zilizochini ya Wizara yake  zinazofanya kazi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 7, 2024
282 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amewahakikishia wafanyabiashara wa Tanzania kufanya uratibu mzuri wa shughuli za kibiashara ili kuleta faida kubwa sana katika nchi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kikao cha pamoja kilichowashirikisha watendaji wa Wizara ya viwanda na Biashara ya Tanzania na Wizara ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...