FEATURE
on Mar 14, 2025
50 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MTAALAM wa Masuala ya Hifadhi ya Jamii kutoka, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tanzania (PSSSF), Valentino Maganga amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka kutoka shilingi trilioni 6 hadi 10. Maganga amesema hayo leo mjini Dodoma, wakati wa Kongamano la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini kwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
37 views 3 mins

📍 TAWA yaagizwa kurejesha Hifadhi ya Kilombero katika uasili wake Na Mwandishi wetu – Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Wakili Sebastian Waryuba amewataka wananchi waliohama kwa hiyari kutoka katika Kijiji cha Ngombo ambacho awali  kilikuwa ndani ya Pori la Akiba Kilombero ambao bado hawajalipwa fidia zao wajitokeze na kufika katika Kata ya Biro […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
26 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kutoa pesa zilizowezesha ujenzi wa ofisi hiyo. -Awataka machinga na Bodaboda kuitumia ofisi hiyo kuleta matokeo chanya. -Arudisha tabasamu la Bi Beatrice aliyekumbwa na sakata la kuuzwa nyumba yake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 13, 2025 amezindua ofisi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
33 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌  *Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi* 📌  *SEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifu* Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuelekea Dira ya Tanzania 2025 ambayo inasisitiza maendeleo endelevu ya nishati kama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
31 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌  Dkt. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevu 📌  Rais wa Sierra Leone asema ukombozi wa maeneo ya vijijini ni muhimu kufikia maendeleo 📌  Waziri Mkuu wa Barbados apendekeza ushirikiano wa kimataifa kumaliza changamoto  za nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
33 views 26 secs

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe. Uwanjani hapo Makamu Mwenyekiti Wasira alilakiwa na viongozi mbalimbali wa CCM na serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
40 views 13 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aliyekuwa Rais wa Uganda marehemu Idi Amin alitaka kubadilisha jina la Uganda kuwa IDI. Kila mtu katika baraza la mawaziri alikubali. Sababu ni kuwa ‘Walimwogopa’. *Lakini kulikuwa na mtu mmoja, Malyamungu.* Akamwambia Amin “Mhe Rais unaijua nchi inayoitwa Cyprus?” Basi Amin akamuuliza “Hivyo Cyprus ina uhusiano gani na Mabadiliko ya Uganda, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
42 views 2 mins

-Asema ni muhimu kuelewa vizuri mfumo wa uboreshaji Kaya masikini  sambamba na taaluma ya ujasiriamali ili kuepuka kutumia pesa bila kuzalisha. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 12, 2025 katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo wakati akizindua zoezi la malipo ya Ruzuku kwa walengwa wa mpango wa kunusuru […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2025
46 views 3 mins

*📌Awapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure* *📌Asema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja kuimarisha huduma kwa wateja na kutatua changamoto zao* *📌Awaagiza Mameneja wa Mikoa na wilaya wa TANESCO kuwasimamia watoa huduma* *📌Awaasa watanzania kutumia namba hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo* […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...