FEATURE
on Jul 28, 2024
351 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba TMDA imebaini kuwepo Kwa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii Kuhusu uwepo wa dawa aina ya paracetamol ambayo imeandikwa P 500 na kudaiwa kubabua ngozi Ameyasema hayo mkurugenzi wa Dawa na vifaa tiba TMDA Adam Fimbo Amesema Dawa iyo inayodaiwa kuwa ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 27, 2024
346 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Bonanza la Nishati Dodoma* Ataka Watumishi kupendana na kushirikiana* Atunukiwa Nishani ya Uasisi Bonanza la Nishati* EWURA yaibuka mshindi wa Jumla; Mkurugenzi Mkuu amshukuru Dkt.Biteko kuthamini Watumishi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishiย  Kauli Mbiu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 27, 2024
417 views 4 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Leo tarehe 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbaliย  katika Bonanza la Nishati Jijini Dodoma likibebwa na Kaulimbiu Shiriki Michezo Imarisha Afya. Mgeni rasmi katika Bonanza hilo ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye ameambatana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 27, 2024
458 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2024
423 views 3 mins

Na Antonio Kiteteri WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam,imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi dhidi ya TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) kupinga kuondolewa kwake kugombea nafasi ya urais ndani ya Chama hicho cha mawakili nchini katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Baada […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2024
273 views 59 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe amesema Serikali imetengeneza uchumi dumavu usiozalisha ajira na kuwatelekeza vijana. Akizungumza na wananchi akiwa Jimbo la Buyungu Mkoani Kigoma jana Julai 24, 2024 amesema tatizo la ajira linatishia utulivu na kusababisha vijana wengi wasio na ajira kuwa tegemezi. “CCM isifikirie kuwa Gen Z […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2024
235 views 2 mins

Na Anton Kiteteri WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Daktari Dotto Biteko ametoa rai kwa wananchi kushirikiana na kuheshimiana na viongozi wao ili kuwapa nafasi ya katimiza wajibu wao wa kuwaletea maendeleo badala ya kukwamishana. Dk. Biteko ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Msangila,kata ya Runzewe magharibi,wilaya ya Bukombe,mkoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2024
382 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Shirika  la reli Tanzania (TRC) Leo hii imeanza Kutoa huduma za safari kutoka dar es salaam  kuelekea mjini dodoma ambapo shirika hilo limesema kuwa utekelezaji huo umetokana na juhudi za Mhe Rais Samia suluhu Hassan Ambapo alitoa maelekezo kuwa ifikapo julai mwaka huu 2024 TRC iwe imeshatekeleza mradi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2024
424 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi -Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari ofisini kwake kuhusu maadhimisho ya Siku ya Homa ya INI […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2024
285 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa huo katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania katika eneo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...