FEATURE
on Jul 30, 2024
275 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA t -Zaidi ya walimu 1000 kupanda Treni ya ya Umeme SGR kwenda Hifadhi ya Taifa Mikumi-Morogoro -Lengo ni kuunga mkono Juhudi za Mhe Rais Dkt Samia kufuatia  uwekezaji mkubwa alioufanya katika usafiri wa reli ya SGR Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 30,2024 akiongea na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 30, 2024
312 views 17 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambao mpaka sasa umefikia asilimia 63 na unatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2025. Waziri Ulega amesema hayo leo alipotembelea kukagua maendelea ya ujenzi wa mradi huo unaofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
336 views 3 mins

Na Madina Mohammed KISARAWE WAMACHINGA Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani imeandaa Tamasha la kimataifa la kihistoria la BATA MSITUNI(Msituni Festival) litakalo shirikisha nchi 3,Tanzania,Uganda na Afrika kusini lenye Lengo la kuhamasisha utalii na kutangaza kituo cha utalii cha Kazimzumbwi kilichopo Pugu Mkoani humo. Ameyasema hayo Leo Tarehe 29 Julai 2024 Mkuu wa Wilaya ya kisarawe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
542 views 23 secs

Na Madina Mohammed WAMACHINGA MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kwa rais Samia Suluhu Hasani na taarifa zimedai kwamba rais amekubali ombi lake la kuachia ngazi nafasi yake na kwamba Kinana hakufafanua zaidi hatua yake ya kuachia ngazi ghafla.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
224 views 8 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko aweka Jiwe la Msingi Aitaka TANESCO Kusimamia Mradi kikamilifu Ataka Wakandarasi wazembe Wachukuliwe Hatua TAZA kuiwezesha Rukwa kupata umeme wa gridi Serikali imesema kuwa  mradi mkubwa wa usafirishaji umeme wa TAZA unaohusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 400  kutoka Iringa hadi Sumbawanga na kuunganisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
255 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAKATI uchaguzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ukitarajiwa kufanyika Agosti 2, mwaka huu jijini Dodoma, wagombea nafasi ya Urais  wamejinadi namna ya kujenga chama hicho kwenye misingi yenye nguvu ikiwamo kuondokana na vishoka katika taaluma hiyo. Wagombea wanaowania nafasi hiyo ni Wakili Sweetbert Nkuba, Paul Kaunda, Revocatus Kuuli, Emmanuel Muga, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
287 views 8 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambayo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika Mikoa ya kihuduma […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
279 views 3 mins

Na Anton Kiteteri Wakati Dunia inaadhimisha Siku ya Homa ya Ini wananchi wamelalamikia kukosekana kwa elimu juu ya ugonjwa huo, hali ambayo inasababisha watu wengi kushindwa kufahamu namna ya kujikinga. Wananchi hao wanasema kukosekana kwa elimu kunasababisha wengi wao kuchelewa kugundua na kutibu ugonjwa na kuufanya usambae na kusababisha ongezeko la maambukizi. Pia wananchi wengi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 29, 2024
319 views 5 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kupitia Jeshi la Polisi, imesema inafuatilia kwa karibu na itawachukulia hatua wote watakaobainika kujihusisha na tabia ya kutumia vyomvo vya habari na mitandao ya kijamii kuzusha taarifa za uongo zinazohusisha uhalifu ukiwemo wa watoto kupotea au kutekwa na hivyo kuzua taharuki […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 28, 2024
253 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA , KATIBU  Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku  tano  huku akiwataka wanachama wa CCM kuwa madhubuti kushikamana, kupendana,kushirikiana na kutambua kuwa  wanawajibu wa kuwatumikia watanzania kwa nguvu zote. Hayo ameyasema leo baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...