FEATURE
on Aug 26, 2024
229 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama  imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa. Katika vijiji vya mafumbo na Lujenge […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 25, 2024
376 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mwalimu Mkuu aeleza namna Nishati Safi ya Kupikia ilivyookoa nusu ya gharama* Aeleza athari zilizopatikana wakati wakitumka nishati isiyo safi* Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumiziย  ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 25, 2024
283 views 24 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezishukuru Taasisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA ) kwa kuonesha Wanyamapori hai kwenye Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Ameyasema hayo leo Agosti 25,2024 kwenye […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 25, 2024
205 views 0 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi cheti cha pongezi kwa ushiriki wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwenye tamasha la Kizimkazi Festival 2024 Hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ndogo Kizimkazi Zanzibar. Cheti hicho cha pongezi kimepokelewa kwa niaba ya Kamishna […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 25, 2024
216 views 4 mins

Na Beatus Maganja DAR ES SALAAM YATARAJIA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 27 KWA MWAKA* Zipline, Loji zenye hadhi ya nyota 5 na Kambi za Kitalii zenye hadhi ya nyota 4 kujengwa MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA leo Agosti 24, 2024 imetia saini mikataba minne (4) ya uwekezaji wa miundombinu ya utalii […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 24, 2024
231 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi kama inavyoelekezwa katika Dira ya Taifa ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 24, 2024
341 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri wa Nishati,  Mhe. Judith Kapinga  amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati  inashiriki katika  tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma  moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na  Taasisi zake pamoja na kutoa elimu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 24, 2024
378 views 5 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo, huku akiongozwa na mwenyeji wake […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 24, 2024
271 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ย WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa alitoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 23, 2024) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namikulo, Kata […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 24, 2024
209 views 26 secs

Na Madina Mohammed WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...