FEATURE
on Aug 30, 2024
269 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali imesema imeijidhatiti kuendelea kufanyia maboresho sheria za ulinzi wa Watoto ili ziweze kuendana na wakati huu wa sasa kwa maslahi mapana  ya kuwalinda Watoto. Hayo yamesemwa leo Agosti 30, 2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), alipokuwa akichangia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 30, 2024
181 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya tuhuma ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57), Sangita Bharat (54) hadi Septemba 10,2024 kwa sababu ya kutokuwepo kwa wakili wa washtakiwa kwa taarifa kwamba yupo Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi. Wanandoa hao ambao ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 29, 2024
223 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ARUSHA Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) imejipanga kuboresha mtandao wake wa barabara kwa kuziwekea lami na nyingine changarawe kwa viwango ambavyo zitadumu kwa muda mrefu kutokana na bajeti ya wakala huo kuongezeka zaidi ya mara tatu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala huo Mhandisi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 29, 2024
201 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI -Awataka viongozi na watendaji wa Mkoa huo kutumia mafunzo hayo kuleta ufanisi wa kazi zao za kila siku. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi na watendaji Mkoani humo kutumia mafunzo ya uongozi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi za kila siku ikiwemo kutumia fedha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 29, 2024
341 views 28 secs

Na Mwandishi Wetu DODOMA Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia ili kuwa kimiminika-LNG. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga alipokuwa akijibu swali bungeni kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 29, 2024
256 views 54 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa suala la kuilinda nchi ni wajibu wa Watanzania wote kwa ushirikiano wa vyombo vya ulinzi na usalama. Majaliwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vina jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonyesha uvunjifu wa amani popote pale . […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 29, 2024
239 views 3 mins

Na Mahamudu Jamal WMA Wakala wa Vipimo  Tanzania (WMA), imewahamasisha watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Ilala, kujenga tabia ya kuwa makini  na  namna vipimo vinavyotumika kila wanapopata huduma na mahitaji mbalimbali. Afisa Vipimo kutoka WMA Ilala, Yahaya Tunda, amesisitiza hay oleo, Agosti 28, 2024 wakati akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 27, 2024
172 views 16 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azungumzia suala la magari ya Serikali kufungwa mfumo wa CNG* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), inajenga vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) mkoani Dar es Salaam (viwili) na mkoani Pwani (kimoja) huku […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 27, 2024
155 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu Ngorongoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake  itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi karibuni kwa wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kuhusiana na uboreshaji wa huduma za jamii yanatekelezwa. Mhe. Chana ametoa kauli hiyo alipotembelea makao makuu ya ofisi za Mamlaka ya hifadhi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 26, 2024
231 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asema ni matokea ya ziara ya Rais Samia nchini Zambia Aitaka TAZAMA ijiendeshe kwa faida Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amepokea gawio la Serikali la zaidi ya Shilingi Bilioni 4.35, kutoka Kampuni ya Bomba la Kusafirisha Mafuta la Tanzania – Zambia  (TAZAMA). Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...