FEATURE
on Mar 16, 2025
32 views 3 mins

Na Mwandishi  Wetu , Zanzibar Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara ya Itikaadi, Uenezi na Mafunzo  imemuasa Mwenyekiti  wa ACT  Wazalendo  ,Othman Masoud Othman,  kuepuka fikra zozote za kutamani  kurithi  sera za Kiongozi wa zamani  wa  UNITA, Jonas  Savimbi. Aidha azma ya kufikia  uamuzi wa kutaka kuweka kando maridhiaono ya kisiasa Zanzibar na kuanzisha mapambano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
52 views 3 mins

Na.Lusungu Helela- ROMBO Mwenyekiti wa Kamati ya  Kudumu ya  Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph  Mhagama amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) ni chombo muhimu kwa ustawi na maendeleo ya Taifa la Tanzania na Watu wake. Amesema ndoto ya Tanzania ijayo haiwezi kutimia bila uwepo wa chombo hicho. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
39 views 6 mins

*📌Serikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa* *📌 Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza REA na TANESCO* *📌 Zaidi ya asilimia 98 ya Vijiji vyote Njombe vina umeme* *📍NJOMBE* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
32 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI: BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani ina uwezo wa kuhudumia kontena 300,000 kwa mwaka ni mara tatu ya Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa. Msigwa ameeleza hayo leo Machi 16 wakati akizungumza waandishi wa habari eneo la bandari hiyo, ambapo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 15, 2025
41 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados 📌 Wakubaliana kuwekeza katika Ushirikiano Sekta ya Utalii na Maji 📌 Nishati Safi ya Kupikia, M300 kivutio cha mazungumzo  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mhe. Mia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 15, 2025
44 views 4 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Climate Investment Funds (CIF) Bi. Tariye Gbadegesin Mjini Bridgetown, Barbados. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Machi 14, 2025 kando ya Mkutano wa Kimataifa wa kuhusu upatikanaji wa Nishati endelevu kwa wote […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
39 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kupitia ruzuku wanayotoa kwa kaya masikini, imewezesha mahudhurio ya watoto kutoka kaya hizo kuongezeaka kwa asiimia sita. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Malipo ya Walengwa kwa Mtandao, Josephine Joseph alipokuwaakizungumza kaktika Kongamano la Wadau wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
43 views 4 mins