FEATURE
on Sep 24, 2024
197 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ampongeza Dkt.Biteko kutoa muongozo matumizi endelevu ya maji* Asema JNHPP ni kielelezo cha matumizi bora ya maji* Asisitiza Taasisi za Serikali kuendelea kusimamia matumizi bora maji* Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta ya Maji ili kutoa elimu ya kulinda vyanzo vya maji pamoja na kushirikiana na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
210 views 19 secs

Tanzania itakuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la Swahili International Tourism Expo (SITE 2024) kuanzia tarehe 11 hadi 13 Oktoba 2024, litakalofanyika Mlimani City, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii, Efrahimu Mafuru, amesema onyesho hili litashirikisha nchi zaidi ya 33 na lengo kuu ni kuimarisha mtandao wa wafanyabiashara wa sekta ya utalii. Kaulimbiu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
222 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KUTOKA MAHAKAMANI MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari alidai hayo hapo jana tarehe 23 Septemba, 2024 alipokuwa akimsomea mshtakiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
234 views 3 mins

Mwandishi Wetu WAMACHINGA KUTOKA MAHAKAMANI WATU  watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Wangina Chacha(21), Erick Mushi(28), Shabani Msuya(36), Baraka Lunanja (32) na Kassim Dyamwale(34). Wakili wa Serikali, Nitike Mwaisaka alidai […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
201 views 2 mins

Na. Lusungu Helela-Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema suala la weledi katika kushughulikia mashtaka ya kinidhamu kwa Watumishi wa Umma nchini bado ni ya kiwango cha chini sana, hali inayopelekea Serikali kuingia gharama pindi rufaa na malalamiko ya mtumishi ambaye hakuridhika na uamuzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
207 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza Watanzania kuwa sehemu ya Mkakati Aeleza athari za matumizi ya Nishati isiyo safi Atoa hofu ya Gesi kulipuka Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba ametoa rai kwa wananchi kuunga mkono kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambayo ni Ajenda iliyoanzishwa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 23, 2024
173 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RUVUMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani Ruvuma kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 23, 2024
203 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Chama Cha Wanahabari wanawake Tanzania TAMWA imezindua Makala yake mpya inayoangazia elimu Bora na Elimu jumuishi Kwa wanafunzi Katika shule za umma Makala hiyo ni Kampeni ya kipindi Cha mwezi mzima  inayolenga kuelimisha jamii Kuhusu umuhimu wa kuwapeleka watoto shule Kwa wakati,hasa wale waliohatarini zaidi.kuacha shule na inalenga […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 23, 2024
248 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RUVUMA MACHIFU wa makabila mbalimbali nchini wametoa tamko la kuwaomba watanzania kutokubali kuvuruga amani iliyopo na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuwaletea maendeleo. Aidha, wamemshukuru Rais Samia kwa kutambua umuhimu wao na kuahidi kuendelea kuombea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani ili Tanzania […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 22, 2024
492 views 19 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya dawa na Vifaa Tiba TMDA imesema kwamba imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi (ARV’S) Ili kunenepesha mifugo Yao. Taarifa iliyotolewa Kwa vyombo vya habari na mkurugenzi mkuu wa TMDA Adam Fimbo amesema mamlaka […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...