FEATURE
on Sep 27, 2024
176 views 54 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Awataka viongozi ngazi za Mitaa na Kata kuunga mkono juhudi za Mhe Rais kwa kuisemea vizuri miradi hiyo. -Atoa Rai kwa wakazi wa DSM kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, leo Septemba 27, 2024 amemshukuru Rais wa Jamhuri ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
191 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia inalenga zaidi Wanawake Afrika Atilia mkazo Taasisi zinazolisha Watu kuanzia 100  kutumia Nishati Safi ya Kupikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
258 views 3 mins

Na.Lusungu S. Helela- Kibakwe Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amewataka Wazazi kutimiza jukumu la malezi ya Watoto   badala ya kuwaachia  walimu pekee yao  kutokana na wimbi kubwa la mmonyoko wa maadili linaloikumba jamii. Amesema malezi ya wazazi kwa watoto ni muhimu sana hususan katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
179 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesema kuwa kitaendelea kushirikiana kwa karibu na Uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kuboresha maslahi ya Watumishi wake pamoja na kuchangia katika ustawi wa Taasisi hiyo. Ahadi hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa TUGHE Taifa, Dkt. Jane Madete alipokuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
256 views 2 mins

Na Veronica Simba WMA DODOMA Imeelezwa kuwa ujenzi unaoendelea wa Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) unatarajiwa kukamilika Januari 2025. Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa WMA, Karim Zuberi amemweleza hayo Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya aliyefanya ziara kujionea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo eneo la Medeli jijini Dodoma, Septemba 27, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
162 views 34 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti* Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasa  kwa kutumia Nishati Safi* Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa Watanzania kupika kisasa kwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
349 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja ukimya na kurusha kombora kwa vyama vya upinzani nchini. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa viongozi wa vyama hivyo sasa wamekosa pa kupenyea na badala yake wanaibuka na hoja za kutaka kuvuruga Taifa. Akizungumza na wananchi jana Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Rais Dkt. Samia, alisema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
235 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema sio wakati wa kutoa visingizio Wasiotuma washiriki watakiwa kujieleza SHIMIWI yalia na kushuka idadi ya vilabu vinavyoshiriki Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala  za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija. Agizo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 26, 2024
224 views 15 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni Umeme, Maji, Barabara, Elimu na Afya* Mbinga kupata kituo cha umeme cha sh. Bilioni 3* Shilingi Bilioni 83 yapeleka umeme Vijijini Jimbo la Nyasa* Wananchi wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kupitia kwa Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga wamemshukuru Rais, Mhe. Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 24, 2024
320 views 55 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waheshimiwa wakuu wa wilaya ya Ubungo na kisarawe sambamba na Kamati za Usalama (W) Maafisa Aridhi, Wakurugenzi, Makatibu Tawala na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa na watendaji wa Mitaa na Kata wamekutana na Kutafsiri GN inayoeleza maeneo ya mipaka na kiutawala kwa wilaya za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...