FEATURE
on Oct 1, 2024
185 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la msingi na kuzindua Mradi wa Maji wa Kilewani wenye gharama ya shilingi milioni 597.6. Uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji cha Kilewani Wilaya ya Kalambo  Mkoani Rukwa leo Oktoba 1,2024. Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara,  Mhe. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
232 views 15 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo leo Oktoba 1,2024. Mhe. Chana amefanya kikao na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Katibu Tawala […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
211 views 50 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema hekta 469,000 za misitu zinateketea kwa shughuli za binadamu* Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia si anasa* Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambao kinara wake […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
230 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAREKANI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa alifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi, kando ya Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 79) ambao alishiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan  Jijini New York, Katika mazungumzo hayo yalifanyika juzi, Majaliwa alilipongeza shirika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
320 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ikiwa jamii haifanya hivyo kuna hatari ya kuzalisha viongozi katili kwa Taifa la kesho, aipongeza NMB kuunga mno kampeni ya Mtoto wa leo Samia wa kesho TANGA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
260 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
182 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema aliishi maisha uaminifu, nidhamu na uchapakazi, kitabu cha maisha ya Edward Sokoine chazinduliwa rasmi Singo aeleza nyakati ngumu wakati wa uandishi wa kitabu na namna alivyojikuta amefika ofisini kwa Rais Samia bila kujua DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kisiasa, watendaji wakuu na vijana wa vyama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 30, 2024
156 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI CHANA AKAGUA MIRADI YA KIMKAKATI HIFADHI YA TAIFA NYERERE Waziri wa Maliasili na Utalii,   Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amekagua maboresho ya miradi mbalimbali ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Mkoani Ruvuma. Akiwa katika ziara hiyo leo, Septemba 29, 2024 Mhe. Chana amekagua ujenzi wa kiwanja cha ndege, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 28, 2024
176 views 2 mins

Na Lusungu Helela DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora   Mhe. Deus Sangu  ameitaka  Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)  kushiriki kwenye Maonesha mbalimbali ya Ubunifu ili kuonesha uzuri wa mifumo iliyobuniwa pamoja na umahiri wa vijana walioandaliwa na Taasisi hiyo ili vijana hao waweze kupata soko kwenye Sekta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
271 views 8 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imejidhatiti katika utatuzi wa changamoto ya migongano kati ya wanyamapori na binadamu chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo leo Septemba 27, 2024  katika Semina ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...