FEATURE
on Oct 5, 2024
181 views 2 mins

Kijiji cha Kahunda charindima Kwa nderemo na vifijo* Na. Beatus Maganja Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA kwa kushirikiana na wananchi wa Kijiji cha Kahunda kilichopo Kata ya Katwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema na mkoa wa Mwanza wamefanikiwa kumdhibiti mamba aliyezua taharuki takribani wiki nzima Kijijini humo kabla ya kuleta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 5, 2024
233 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja ukimya na kutoa pongezi ya dhati kwa Sekta isiyo rasmi katika kuonesha jitihada kuchingia ukuaji wa uchumi kwa haraka kupitia shughuli mbalimbali za kujiajiri wenyewe.Takwimu zinaonesha kundi hilo lisilo rasmi linachangia asilimia 60 ya mapato yanayochangia kasi ya ukuaji wa uchumi nchini. Kauli hiyo aliitoa jana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 4, 2024
212 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Tume ya Taifa ya sayansi na teknolojia (COSTECH)Leo imezindua miongozo minne itakayowawezesha uratibu katika masuala ya sayansi na teknolojia na ubunifu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa miongozo hiyo iliyofanyika leo Oktoba 4,2024 jijini Dar es salaam katibu mkuu wa wizara ya elimu,sayansi na teknolojia Bi Carolyne Nombo amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 3, 2024
187 views 22 secs

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezitaka Serikali za Vijiji kuweka ajenda ya uhifadhi wa mazingira na kudhibiti moto iwe za kudumu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Ameyasema hayo leo Oktoba 2, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 3, 2024
180 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwandishi wa habari wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amewata wananchi Mkoani Singida kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibu ambaye ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika Taifa la Tanzania. Amewataka wananchi kumuombea, kumtia moyo na kumpa ushirikiano ili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 3, 2024
176 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port – Matumbulu – Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha mpango […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 3, 2024
180 views 55 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema Rais Samia amefanya uwekezaji katika sekta ya maji zaidi ya Bilioni 490. -Mitambo ya bilioni 6 kufungwa ili kumaliza changamoto ya kukosekana kwa maji -Aitaka DAWASA kusimamia kwa karibu upotevu wa maji. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 2, 2024 amefanya ziara katika ofisi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 3, 2024
188 views 3 mins

Na Beatus Maganja Wananchi wapongeza jitihada za Serikali. SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi yake ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetenga fedha zaidi ya shilingi milioni 210 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa ajili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 2, 2024
237 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu aweka wazi sasa michango yake yafikia trilioni 8.5/- Achambua namna Serikali ya Awamu ya Sita  ilivyotanua wigo wa waajiri na waajiriwa nchini kwa asilimia 70 hadi sasa -DAR ES SALAAM MFUKO wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeongezeka kutoka S tirioni 8.4 mwaka 2021 hadi kufikia tirioni 8.5 mwaka 2024 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 2, 2024
209 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IRAMBA Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika mkoa wa Singida. Akizungumza wakati wa Mahafali ya 70 ya shule hiyo iliyofanyika tarehe 1 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...