FEATURE
on Oct 9, 2024
124 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa habari mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe Jerry Silaa amefungua kikao kazi Cha siku tatu ambacho kimejikita kufanya mapitio Katika maeneo 11 ambayo nchi za Afrika zilijiwekea awali Katika mkutano wa Dunia wa jumuiya ya habari WSIS MHE waziri amefungua kikao hicho Leo Tarehe 09 Oktoba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 9, 2024
196 views 15 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt.Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania,  Mhe. Chen Mingjian kuhusu kushirikiana katika maeneo mbalimbali ya Sekta ya Maliasili na Utalii hususan kuwekeza kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji. Kikao hicho kimefanyika leo Oktoba 9, 2024 Mkoani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 9, 2024
160 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa Jamii Uwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa Fedha Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na vifaa tiba katika kuboresha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 9, 2024
167 views 54 secs

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu katika maeneo mbalimbali ya wilaya za  mkoa huo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 9, 2024
172 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la kukabiliana na tatizo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 9, 2024
309 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA kusambaza mitungi ya gesi 3,225 Gairo, yaendelea kugawa majiko banifu kwa wananchi Na MWANDISHI WETU -GAIRO RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya bei kwenye mitungi ya gesi inayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili Watanzania watumie nishati safi na salama kwa afya zao pamoja na kuhifadhi mazingira […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 8, 2024
174 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais Samia Waziri wa Maliasili na Utalii,  Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengo   kuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia. Balozi Chana ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 8, 2024
138 views 0 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kutangaza fursa za uwekezaji kwenye Mafuta, Gesi Asilia na Nishati Mbadala* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium)  nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu  Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week) linalofanyika Jijini Cape Town. Jukwaa hilo pia limehudhuriwa na Naibu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 7, 2024
167 views 53 secs

Waziri Chana azindua Utalii  wa Puto. Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto  ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 7,2024 katika eneo la Korongo View ndani ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 7, 2024
188 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Maelfu ya wananchi wa mji wa Bariadi na vitongoji vyake waliofurika kwenye mkutano mkubwa wa hadhara mjini hapo wamemtuma Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kufikisha salamu zao kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa wanamhitaji agombee na aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...