FEATURE
on Nov 1, 2024
115 views 8 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali Ataja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya Alipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 31, 2024
149 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Vijiji 32 vyenye wateja zaidi ya 8,000 vimeunganishiwa umeme REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha umeme wa uhakika na kutoa ajira kupitia miradi hiyo. Hayo yamebainishwa leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 31, 2024
404 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mvua kwa msimu wa Novemba 2024 hadi Aprili 2025, ikisisitiza umuhimu wa maandalizi katika sekta mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa Leo Kamu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo Ladislaus Chang’a alisema   mvua za msimu zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 31, 2024
106 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuhusisha transfoma za kVA50, 100 na 200* Vitongoji ambavyo havijapata umeme kufikiwa* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umeme  vitongojini utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo za kusafirisha umeme. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 31, 2024 bungeni jijini Dodoma  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 30, 2024
132 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -PWANI MKURUGENZI wa Uwekezaji Ofisi ya Msajili Hazina Lightness Mauki, amesema uwekezaji wa Serikali katika mashirika ya umma nchini umefikia Shilingi trilioni 86 kufikia mwaka 2024. Kutokana na hali hiyo amewataka viongozi wa mashirika ya umma kuhamasisha wananchi wanapata tija kwa uwekezaji huo. Hayo aliyasema jana wakati akifunga mafunzo kwa viongozi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 30, 2024
133 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji na watumishi katika taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ushirikiano na ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi  ikiwemo za umeme, mafuta na Nishati Safi ya Kupikia. Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dodoma wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 30, 2024
147 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR E SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wake wa marais  Afrika kutambua kuwa wana nafasi muhimu kwa jamii na kuwaomba wabebe suala la nishati safi ya kupikia kwa hekima na kwa ushawishi mkubwa kwa marais. Pamoja na hali hiyo amewataka waendelee kutoa ushauri wa hekima  katika kuangalia namna ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 30, 2024
147 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Ndg. Ludovick Nduhiye amefanya ziara ya kutembelea ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuzitambua Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Uchukuzi, kufahamu majukumu ya kiutendaji na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 30, 2024
210 views 3 mins

Na Jacob Kasiri-SITALIKE Furaha ni kupokezana inaweza kuwa kwa watu wa jamii mbili tofauti kwa wakati mmoja, tukio hili limejiri leo tarehe 29 Oktoba, 2024 wakati maafisa na askari wa Hifadhi ya Taifa Katavi pamoja na wadau wa uhifadhi na utalii wakisherehekea kilele cha miaka 50 zilienda sanjari na vifijo na ndelemo za wanafunzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 29, 2024
206 views 4 mins

Na Jacob Kasiri KATAVI Furaha imetamalaki katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hifadhi ya Taifa Katavi leo tarehe 29 Oktoba, 2024 wakati wa sherehe hizo baada ya mradi wa kuhifadhi ikolojia ya Hifadhi za Taifa Katavi, Milima Mahale na Ushoroba unaounganisha hifadhi hizi almaarufu KAMACO kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...