FEATURE
on Nov 7, 2024
140 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kunufaisha kaya 2,970 kutoka kwenye vitongoji 90 ndaniya wilaya tatu, RC Macha asema umeme ni kipaumbele cha Rais Samia -SHINYANGA SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha kaya 2,970 mkoani Shinyanga. Hayo yalisemwa jana na Msimamizi wa Miradi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 7, 2024
130 views 2 mins

Na Catherine Sungura KIGOMA WAMACHINGA Bajeti ya dharura nayo yaongezezeka Ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bajeti ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara za TARURA imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 275 hadi Shilingi Bilioni  710. Hayo yameelezwa  mwishoni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 6, 2024
124 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga ataja  msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024 Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchini* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu Serikali ya mwaka 2023/24 Serikali ilitoa msamaha wa kodi ya ushuru wa forodha (customs duty) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 6, 2024
138 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGAt ooh Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni wa muda mrefu (Long term contract) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
107 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa  Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
143 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa Mashamba na Wilaya wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kutumia Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili  kuboresha utendaji kazi na kuchagiza  utawala bora. Ameyasema hayo katika mkutano wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
162 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wadau takriban 400 kukutana Arusha* Kuhusisha majadiliano, kubadilishana uzoefu, fursa za uwekezaji* Dkt.Doto Biteko kuwa mgeni rasmi* Ufanisi wa Tanzania Matumizi Bora ya Nishati wapelekea EU kuongeza muda wa ufadhili* Imeelezwa kuwa, Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na Ubalozi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
121 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 5, 2024
140 views 6 mins

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amewataka wanachama wa CCM kutobweteka atika Uchagzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Kauli hiyo aliitoa jana Wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam katika siku ya kwanza ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 4, 2024
112 views 5 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu ‘Duniani World Interllectual Property Organization’ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)na  Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanatoa mafunzo kwa wakufunzi watakaokuwa na jukumu la kufundisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu na faida […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...