FEATURE
on Mar 21, 2025
23 views 3 mins

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa Mizani waliokuwa zamu katika Mizani zilizopo katika barabara kuu ya T1 inayoanzia Dar es Salaam – Zambia kupitia mpaka wa Tunduma kwa ajili ya kupisha uchunguzi wa malalamiko katika Mizani hizo. Ulega amefanya maamuzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
23 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) imesema inajivunia mageuzi makubwa ya kisera ambayo yamewezesha kuwapo kwa mafanikio ya utoaji mafunzo ya amali. Akizungumza Machi 20,2025 na waandishi wa habari kwenye maonesho ya miaka 30 ya Veta, Mkurugenzi Mtendaji wa VTA, Dk. Bakari Ali Silima, amesema mageuzi makubwa yamefanyika tangu kuanzishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
23 views 57 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *📌Ujenzi wafikia  94%* *📍DODOMA* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
26 views 4 mins

📌 *Uzalishaji umeme waongezeka kwa asilimia 59.9* 📌 *Misheni 300 kuongeza  upatikanaji  umeme kwa asilimia 100 ifikapo  2030.* 📌 *Serikali yaokoa sh.i bilioni 58.4 kwa kuunganisha Kigoma na gridi ya Taifa.* 📌 *Upatikanaji  bidhaa za mafuta umeendelea kuwa wa uhakika* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
24 views 2 mins

📌 Asisitiza kuwa, Rais Samia anajenga vyuo kila wilaya nchini 📌Apongeza utoaji wa mafunzo na ujuzi kuendana na teknolojia ya kisasa 📌Makundi maalumu kupewa kipaumbele 📌Asema VETA itakuwa msingi kwa malezi ya watoto na Vijana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeamua kuwekeza kwenye ufundi ili Watanzania […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
20 views 3 mins

📍 Mapato na Idadi ya Watalii Vyaongezeka Na Beatus Maganja, Mbeya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2025
31 views 2 mins

*📌Waziri wa Mambo Nje  Misri atembelea Bwawa la Julius Nyerere* *📌Asifu hatua za Rais  wa Tanzania na Misri kusimamia  utekelezaji wa mradi* *📌Mradi wafikia asilimia 99.89* *📍RUFIJI* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano  kwenye utekelezaji wa miradi ya umeme na kudunisha ushirikiano uliowekwa na waasisi wa nchi hizo. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2025
21 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imetoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2025
30 views 2 mins

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali inatambua mchango mkubwa wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutangaza amani, upendo, maadili, na usawa miongoni mwa wananchi wa Tanzania bila kujali tofauti zao za kiimani, kisiasa, au kijamii. Bashungwa ameeleza hayo jijini Dar es Salaam […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
25 views 3 mins

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imejipanga katika kuendelea kuimarisha na kuboresha uwezo wa Mawakili wa Serikali nchini, hayo yamesemwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari wakati akizungumza na kwenye Mkutano maalaumu na vyombo vya habari uliofanyika tarehe 19 Machi, 2025 katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kivukoni Jijini, Dar es […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...