FEATURE
on Nov 20, 2024
116 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa_ย  Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM Mkoa wa Mwanza tarehe 20 Novemba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
114 views 48 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa ๐Ÿ“Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo yamezungumzwa leo Novemba 19, 2024 na Kaimu Katibu Tawala,  Mha. Joseph […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
121 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Serukamba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
94 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikaliย  itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni kuona sekta hiyo inakuwa kwa kasi na tija kwa uchumi wa nchi. Majaliwa ameyasema hayo leoย  jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassanย  kwenye Mkutano wa sita wa Kimataifa wa Madini ulioanza leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 19, 2024
121 views 17 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wananchi wa Tarafa ya  Ngorongoro Mkoani Arusha wameonyesha kuwa na matumaini na Serikali kufuatia urejeshwaji wa huduma za kijamii ambazo zilikosekana kwa mda mrefu. Hayo yamebainishwa leo Nov 18, 2024 na Mratibu wa mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) wakili Onesmo Olengurumwa ambapo amesema kwasasa Wananchi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 18, 2024
154 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, Waziri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 18, 2024
117 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Jumla ya watu 84 wameokolewa na kufikishwa hospital Kwa ajili ya kupatiwa matibabu na kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na matibabu naย  watu 13 wamepoteza maisha Katika tukio hilo. Amesema serikali itabeba Gharama za matibabu Kwa wote waliojeruhiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 17, 2024
135 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Apongeza wananchi wa kawaida  kwa kujitokeza haraka kuokoa watu_ _Serikali, vyombo vyake na taasisi binafsi zapewa heko kwa mwitikio wa mfano_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amepongeza utayari na mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania mara baada ya tukio la kuanguka kwa jengo Kariakoo, akisema kuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 17, 2024
107 views 7 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini Bw. Godbless Lema anatuhumiwa na baadhi ya wanachama wa Chama hicho Mkoani Arusha kwa kuongoza kwa Ubabe na kupandikiza watu anaowataka yeye kwenye Nafasi mbalimbali zinazowaniwa kwenye Uchaguzi wa kuchagua Viongozi mbalimbali wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini. Lema inadaiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 17, 2024
138 views 28 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema toka jana usiku hadi asubuhi ya leo Novemba 17,2024 watu watano (5) wameokolewa na kupelekwa Hospitali -Awatoa hofu wanaosema zoezi linakwenda taratibu asisitiza vifaa vyote vya uokozi vipo lakini kinachofanyika ni ustadi na akili zaidi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...