FEATURE
on Dec 2, 2024
238 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff amewataka Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini kufanya ukaguzi na matengenezo  ya Miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na TARURA mara kwa mara ili kubaini kasoro na kuchukua hatua za haraka kuondoa kasoro […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 2, 2024
173 views 32 secs

Na Madina Mohammed ARUSHA Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DKT Samia Suluhu Hassan Ameunda tume mbili Ambapo Moja atachunguza na kutoa mapendekezo Kuhusu maswala ya ardhi wanayolalamikiwa na wakazi wa ngorongoro.Tume nyengine itaangalia utekelezaji wa zoezi zima la uhamiaji wa hiari kutoka eneo la ngorongoro. Dkt Samia ameyasema Leo ikulu ndogo ya Arusha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 1, 2024
312 views 4 mins

Leo, tarehe 1 Desemba 2024, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Maadhimisho haya yanayoratibiwa kitaifa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), mwaka huu yanafanyika mkoani Ruvuma yakibeba kauli mbiu yenye nguvu na matumaini: *“Chagua Njia, Tokomeza UKIMWI.”* Kauli mbiu hii haizungumzii tu mbinu za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2024
147 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko amwakilisha Dkt. Mpango Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2024* TBL, BARIC GOLD, TPA Zang’ara Ushindi wa jumla Mwajiri Bora 2024* ILO yashauri Utambuzi wa Sekta isiyo rasmi*  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2024
98 views 46 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga asema lengo ni kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu* Aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa nyumba ya Mwalimu  Shule ya Mbungani* Asema miradi ya maendeleo itawafikia wananchi wote bila kuangalia umbali* Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2024
122 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Viongozi wa Serikali na Chama tawala kutoa ushirikiano kwa viongozi wa vyama pinzani walioshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwani nao wameaminiwa na wananchi. Akizungumza jijini Dar es salaam Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, CPA. Amos Makalla amesema uchaguzi umeisha chama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2024
145 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA* Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo* IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Bahraini* Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandari, kupunguza msongamano*  Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 28, 2024
159 views 19 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato leo Tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Chuo Huria Mtaa wa Migera – Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 27, 2024
83 views 13 secs

Na Mwandishi Wetu-Rukwa Naibu Waziri, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ma Utawala Bora Mhe.Deus Sangu  amesisitiza umuhimu wa Wananchi wa Jimbo la Kwela kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaojua  changamoto zinazowakabili  za moja kwa moja katika maeneo yao. Mhe.Sangu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 27, 2024
179 views 19 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...