FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
97 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA y Rais wa Zanzibar na

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahari  ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Sera  za  kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
132 views 40 secs

📌Vitongoji 33,657 vimefikiwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia 99.9. Hayo yamebainishwa leo tarehe 5 Januari, 2025 na Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mha. Jones Olotu wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
164 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA w Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia mvua  zinazoendelea kunyesha katika safu ya milima ya Pare Wilayani Same. ” Ndugu zangu poleni sana […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
157 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Akagua kituo cha umeme

Kidatu* Ataka usimamizi wa karibu kwa Mkandarasi anayekarabati mtambo namba mbili* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hivyo  Wizara ya Nishati itahakikisha wananchi wanapata nishati ya umeme ya uhakika. Dkt. Kazungu Ametoa […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
107 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI kupitia Wakala

ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inajipanga kufungua mawasiliano kwa kuunganisha Barabara ya Langa-Mkuu na Msitu wa Tembo katika Kata ya Msitu wa Tembo- Ngorika kuelekea Ngange wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara. Kaimu Meneja wa Tarura Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Naftari Chaula amesema hayo wakati wa ukaguzi […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
130 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri  wa Ujenzi Abdallah

Ulega amewataka Wakala wa Barabara  Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa watanzania. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Ndungu  wilayani Same katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi China Communication Construction […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 4, 2025
133 views 3 mins

📍 Msako mkali wa “Matapeli” kufanyika Na Beatus Maganja,

Kilombero. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi Pori la Akiba Kilombero   ambalo ni mahsusi Kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu na wanyamapori hususani upatikanaji wa maji Kwa ajili ya […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 2, 2025
141 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao, imemaliza Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka wa 2025 Kwa kutoa misaada mbalimbali Kwa watu wenye ulemavu na mahitaji Maalum. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Desemba 31, 2024 hafla hiyo ya utoaji msaada huo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Meya wa […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 2, 2025
168 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah

Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Corporation anayejenga barabara ya Tungamaa-Mkwaja-Mkange Km 95.2 ambayo ni sehemu ya barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo ili achukue hatua […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...