FEATURE
on Mar 25, 2025
31 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa Serikali inafurahishwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kutoa kipaumbele cha fursa za ajira kwa Watanzania kupitia utekelezaji wa Sera ya kuwawezesha wazawa ( Local Content). […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 25, 2025
85 views 3 mins

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amewakumbusha Mawakili wa Serikali kufanya kazi kwa haraka, kwa wakati  na kwa kuzingatia ubora, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo tarehe 25 Machi, 2025 wakati akizungumza na Mawakili wa Serikali kwenye Mafunzo maalumu kwa  Mawakili hao yanayofanyika Jijini Arusha. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewakumbusha Mawakili wa Serikali […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 23, 2025
65 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya AMO Foundation Kwa kushirikiana na Shirika la PDT Foundation imeweza kuwachangia watoto wanaoishi Katika mazingira magumu wanaotembea umbali mrefu Ili kufika shuleni Kwa kuwachangia baiskeli 30 Ameyasema hayo Leo 23,Machi 2025 Mkurugenzi wa AMO Foundation Amina Said Amesema kuwa tumewachangia baiskeli 30 lakini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 23, 2025
31 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau pamoja na kuweka mipango ya kuendelea kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi katika kuhakikisha usalama wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
22 views 6 secs

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika  na  Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi katika futari aliyoiandaa. Hafla hiyo ya  imefanyika katika Viwanja vya Ikulu  Zanzibar, tarehe 22 Machi 2025. Ameeleza kuridhika kukamilisha Sadaka ya Futari kwa Mikoa yote […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
33 views 2 mins

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema  Serikali ina dhamira ya dhati  ya Kuijenga Zanzibar yenye Maendeleo endelevu na huduma bora za jamii ikiwemo Elimu, Afya na Maji Safi na Salama. Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipoizindua Sera Mpya ya Maji na  Usafi wa Mazingira ya 2025 hafla iliofanyika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
18 views 3 mins

Na Happiness Shayo – Njombe Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Misitu ili kuleta ufanisi na manufaa zaidi katika kuchangia ukuaji wa pato la Taifa (GDP) na kunufaisha wananchi kupitia rasilimali za misitu zilizopo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
21 views 6 mins

📌Taa za barabarani 95 zawekwa  Mji wa Tunduma 📌Km. 50 za barabara mpya zafunguliwa Halmashauri ya Momba Tunduma,Momba Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika  na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
24 views 2 mins

 _▪️Asema Tanzania inayo teknolojia ya uchakataji mazao ya misitu.__▪️Aisistiza Wizara  kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa mazao ya misitu._ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa uzalishaji mazao ya misitu kuhakikisha wanaongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini badala ya kusafirisha malighafi hizo nje ya nchi. Amesema kuwa Tanzania kwa sasa inayo teknolojia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
32 views 47 secs

Na John Mapepele Kwa mara ya kwanza  katika historia ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani ya mwaka huu  hapa nchini yanayofanyika katika viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe  Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa maonesho maalum ya mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu pamoja na Wanyamapori. Kwa vipindi tofauti wakikagua maandalizi ya siku […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...