FEATURE
on Jan 5, 2025
138 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Akagua kituo cha umeme Kidatu* Ataka usimamizi wa karibu kwa Mkandarasi anayekarabati mtambo namba mbili* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hivyoย  Wizara ya Nishati itahakikisha wananchi wanapata nishati ya umeme ya uhakika. Dkt. Kazungu Ametoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
94 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inajipanga kufungua mawasiliano kwa kuunganisha Barabara ya Langa-Mkuu na Msitu wa Tembo katika Kata ya Msitu wa Tembo- Ngorika kuelekea Ngange wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara. Kaimu Meneja wa Tarura Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Naftari Chaula amesema hayo wakati wa ukaguzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
116 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri  wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara  Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa watanzania. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Ndungu  wilayani Same katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi China Communication Construction […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 4, 2025
122 views 3 mins

๐Ÿ“ Msako mkali wa “Matapeli” kufanyika Na Beatus Maganja, Kilombero. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi Pori la Akiba Kilomberoย ย  ambalo ni mahsusi Kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu na wanyamapori hususani upatikanaji wa maji Kwa ajili ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 2, 2025
127 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao, imemaliza Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka wa 2025 Kwa kutoa misaada mbalimbali Kwa watu wenye ulemavu na mahitaji Maalum. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Desemba 31, 2024 hafla hiyo ya utoaji msaada huo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Meya wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 2, 2025
155 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Corporation anayejenga barabara ya Tungamaa-Mkwaja-Mkange Km 95.2 ambayo ni sehemu ya barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo ili achukue hatua […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 2, 2025
362 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 31, 2024
112 views 4 mins

๐Ÿ“ Waliohama kupokelewa vijiji jirani, waipongeza Serikali Na Beatus Maganja, Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amesema zoezi la kuwalipa fidia wananchi wa Kijiji cha Ngombo kilichopo ndani ya Pori la Akiba Kilombero Mkoani Morogoro linaendelea vizuri ambapo asilimia 93 ya wananchi wote tayari wamekwishalipwa fidia zao kwa ajili ya kupisha shughuli […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 30, 2024
122 views 2 mins

Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu, na kwa kuzingatia kutakuwa na mkesha wa siku tatu katika Jiji la Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 30, 2024
123 views 46 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kitabu hiki nimeandika niweze kusaidia watu wengi japo watu wengi ni wavivu kusoma nataka niwakumbushe kwamba ufalme utatekwa na wenye nguvu lazima tulipe gharama ili tuweze kuishi hatma yetu tulopewa na Mungu. Hayo ameyazungumza Mbeba maono Mchungaji Gabriel Hassan katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha Nguvu ya utendaji wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...