FEATURE
on Jan 8, 2025
142 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Tawala wa mkoa wa dar es salaam Toba nguvila Amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya ubungo waanze mkakati wa haraka sana wa ujenzi wa uzio wa hospital Kwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya uzio Ameyasema hayo Leo Katika Kuendelea na ziara yake ikiwa ni siku ya pili Kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 8, 2025
182 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Hali ya upatikaji wa barabara na madaraja yafikia 19% Kibaya ,Kiteto WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ambao utasaidia kufungua uchumi wa wilaya hiyo. Wakizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo wananchi hao wamesema awali […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 7, 2025
155 views 55 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amefanya ziara katika mradi wa kihistoria wa Samia Housing Scheme unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kawe, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kukagua maendeleo ya mradi huo mkubwa unaolenga kuboresha makazi nchini. Akiwa eneo la mradi, Mkuu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
104 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya Arusha-Holili ambayo iliathiriwa na mvua katika maeneo ya Kwamsomali na King’ori. “Mhe. Rais ametoa zaidi ya shilingi bilioni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
135 views 4 mins

Simanjiro WAKAZI wa Wilaya ya Simanjiro wameipongeza Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutatua kero ya muda mrefu ya barabara na madaraja wilayani humo. Wakizungumza wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu wilayani humo wakazi hao wamesema kabla ya ujenzi wa miundombinu hiyo walikuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
89 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA y Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahariย  ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Seraย  zaย  kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
120 views 40 secs

๐Ÿ“ŒVitongoji 33,657 vimefikiwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia 99.9. Hayo yamebainishwa leo tarehe 5 Januari, 2025 na Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mha. Jones Olotu wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
149 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA w Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia mvuaย  zinazoendelea kunyesha katika safu ya milima ya Pare Wilayani Same. ” Ndugu zangu poleni sana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
138 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Akagua kituo cha umeme Kidatu* Ataka usimamizi wa karibu kwa Mkandarasi anayekarabati mtambo namba mbili* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hivyoย  Wizara ya Nishati itahakikisha wananchi wanapata nishati ya umeme ya uhakika. Dkt. Kazungu Ametoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...