FEATURE
on Jan 20, 2025
104 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amewaonya wanachama wa Chama hicho ambao wameanza kupitisha katika Kata na majimbo kufanya kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kabla ya wakati. Akizungumza katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Mjini Dodoma ukiwa na ajenda ya kupitisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 17, 2025
100 views 46 secs

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki mkutano wa kimataifa wa Utalii na Usafirishaji unaofanyika Dubai, Falme za Kiarabu ambao umeanza tarehe 15/01/2025 na unatarajia kumalizika leo tarehe 16/01/2025. Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Teknolojia na Utafiti ya barani Asia (ITAR) unahudhuriwa na washiriki kutoka takribani nchi 52 duniani kote Katika Mkutano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 16, 2025
129 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) likiwa ndiyo mwakilishi wa wafanyakazi Tanzania na moja wa wadau wakubwa wa sheria za kazi Nchini, tulipokea mapendekezo ya marekebisho ambayo tayari yamekua ni mswada na baadae tukapokea mwaliko wa kuwasilisha maoni yetu kama wadau. Yafuatayo ni baadhi ya maeneo ambayo tumeyatolea maoni ambayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 16, 2025
96 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Wateja wapya 109,918 waunganishiwa na huduma ya umeme nchini* ๐Ÿ“Œ *Kamati ya Bunge yaipongeza TANESCO kwa kuimarisha Miundombinu ya umeme* Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa hadi kufikia mwezi Desemba, mwakajana ni jumla ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 16, 2025
148 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa, amesema kuwa serikali inajizatiti kutatua changamoto zinazotokana na mvua katika usafiri wa treni za Mwendokasi (SGR). Kadogosa ameeleza kuwa mvua kubwa inayoendelea kunyesha inasababisha maji kuingia katika sehemu ambazo ziliharibiwa na wahalifu, hivyo kusababisha hitilafu katika miundombinu hali iliyopelekea kusimamishaย  kwa treni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 15, 2025
108 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa* ๐Ÿ“Œ *Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa zaonesha nia ya kushiriki* ๐Ÿ“Œ *Ataja sababu za mkutano wa M300 kufanyika Tanzania* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 15, 2025
102 views 3 mins

๐Ÿ“Œ *Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15  IRENA* ๐Ÿ“Œ *Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi* ๐Ÿ“Œ *Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi  ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi* Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi  ambapo jumla […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 12, 2025
111 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 12, 2025
120 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZY Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 61 ya Mapimduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika Viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, Zanzibar. Mgeni wa Heshima katika Sherehe hizo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 12, 2025
100 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Tanzania yawakilishwa na Naibu Katibu Mkuu Nishati, Ajenda ya Nishati jadidifu yajadiliwa kwa kina* ๐Ÿ“Œ *Nchi wanachama watakiwa kubuni miradi  ya Nishati jadidifu rafiki kwa mazingira* Abu Dhabi, UAE Mkutano Mkuu wa Baraza la 15 la Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA) umezinduliwa rasmi mjini Abu Dhabi Falme za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...