FEATURE
on Sep 19, 2024
99 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga asema lengo ni kuwafanya Watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ifikapo 2034. Kwa mwaka huu wa fedha mitungi laki nne kutolewa. Atoa rai kwa Watanzania kuendelea kuhamasishana matumizi ya nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 19, 2024
97 views 43 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza Mkoa wa Kigoma ufunguke kuwa Mwanzo wa Reli Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuipatia Kigoma miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali ili kuufungua mkoa huo kiuchumi. Akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 19, 2024
264 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MKUTANO WA 11 WA TAASISI YA MERCK FOUNDATION AFRIKA ASIA LUMINARY KUFANYIKA TANZANIA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt.Dorothy Gwajima amesema Taasisi ya uhisani ya Merck Foundation inayojishughulisha na Huduma za Jamii, inatarajia kufanya mkutano wake wa 11 nchini Tanzania tarehe 29 na 30 Oktoba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 18, 2024
118 views 34 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka kuyapa kipaumbele masuala ya wafanyakazi. Ataka changamoto ya wafanyakazi kukaimu muda mrefu kufanyiwa kazi Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga leo Septemba 17, 2024 amefungua kikao kazi cha Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Jijini Mwanza. Lengo la kikao hicho ni kujitathmini, kujipanga na kukumbushana masuala mbalimbali […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 17, 2024
93 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana amekabidhi madawati 90 yenye thamani ya shilingi milioni 7ย  kwa Shule ya Msingi Manga iliyopo katika Kijiji cha Manga, Wilayani Ludewa Mkoani Njombe leo Septemba 17, 2024. Madawati hayo yametolewa kwa udhamini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 17, 2024
165 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Astaajabishwa na wingi wa vivutio na kuahidi kuwahamasisha wageni mbalimbali kutembelea eneo hilo* Mkurugenzi wa Kampuni mashuhuri  ya utalii inayofahamika kama Green Hippo Travels, Astrid Kleinveld akiwa ameambatana na rafiki yake  Naomi Rugenbrink ambao wote ni raia wa Uholanzi,   tarehe 15 septemba 2024, walitembelea eneo la Makuyuni Wildlife Park liliopo wilayani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 16, 2024
102 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi zahanati ya Ivilikinge iliyopo Wilayani Makete Mkoani Njombe sambamba na kukabidhi vifaa mbalimbali vya hospitali vilivyotolewa na Benki ya NMB. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, leo Septemba 16,2024, Mhe. Chana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 16, 2024
127 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema lengo ni kuepusha uovu na kuchochea maendeleo_* WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia na kuimarisha maadili mema kwa jamii ili kuepuka maovu na kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania. โ€œNitumie fursa hii kuendelea kutoa rai kwa wananchi, wazazi na viongozi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 13, 2024
207 views 10 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mitungi ya Gesi 400,000ย  yapewa Ruzuku* Dkt. Biteko Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia kwa Wote* Aagiza Majengo ya Wizara ya Nishati/Taasisi kufunga mifumo ya Umeme Jua* Azinduaย  Jengo la REA; Aipongeza kwa usimamizi wa miradi, asisitiza huduma bora* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amesema Serikali inafanya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 13, 2024
146 views 0 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya utalii Tanzania (TTB) inatarajia kuazimisha onesho la nane la SWAHILI INTERNATIONA TOURISM EXPO (S!TE) ambapo onesho hilo litafanyika kuanzia 11 mpaka 13 Oktoba mwaka huu. Akizungumza na waandishibwa habari mapema hii leo septemba 12,2024 Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya utalii nchini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...