FEATURE
on Mar 29, 2025
26 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu SERIKALI inataka faida itokanayo na uwekezaji katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya 10 mwaka ujao wa fedha Dhamira hiyo ilielezwa Ijumaa, Machi 28, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wakati wa kufunga mkutano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
31 views 3 mins

Na. Mwandishi Wetu- Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu kusafiri hadi jijini Dodoma Sekretarieti ya Ajira kufuata […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
23 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒKampeni inalenga kuelimisha watoto kuzingatia usalama kwanza watumiapo umeme. ๐Ÿ“ŒItasaidia Kupunguza athari na ajali zitokanazo na majanga ya umeme kwenye Mikoa hiyo. Shirika la Umeme Tanzania  (TANESCO) Machi 27 limeanza kampeni maalumu ya kuelimisha juu ya kuzingatia usalama kwanza kwenye matumizi ya Umeme kwa Makundi ya watoto katika shule mbalimbali za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
22 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko atoa mabati 300 ujenzi wa darasa Chuo cha Mafunzo ๐Ÿ“Œ Magereza yapongezwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ๐Ÿ“Œ Dkt. Samia apongezwa kwa kuimarisha vyombo vya ulinzi na usalama Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 27, 2025
25 views 2 mins

โ€ข _*Watanzania kujengewa uwezo kwenye kada ya Jiosayansi na Utafiti wa Madini*_ ๐Ÿ“ *Seoul, Korea Kusini.* Wizara ya Madini kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) na Taasisi ya Jiosayansi na Rasilimali Madini ya Korea Kusini (KIGAM) zimetia saini Hati ya Makubaliano (MoU) ya kufanya tafiti za pamoja za Jiosayansi. Hafla hiyo ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
38 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA โ€ข _*TGC yasaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Sunset Gem ya Thailand kuhaulisha teknolojia mpya*_ ๐Ÿ“ *Dodoma* Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria kukuza sekta ya madini kwa kuhakikisha madini yanachakatwa na kuongezwa thamani hapa nchini badala ya kusafirishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
28 views 3 mins

๐Ÿ“ *Seoul, Korea Kusini* Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji na matumizi ya Madini Muhimu duniani, Tanzania ina dhamira ya dhati ya kuendeleza Sekta ya Madini ikiwa ni pamoja na Madini Mkakati hapa nchini kwa kuimarisha ushirikiano na Nchi ya Korea ya Kusini kwa lengo la kuleta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
27 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba (7) wamekamatwa, akiwemo kinara wa biashara haramu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
28 views 2 mins

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imekutana na kufanya mazungumzo na Taasisi za Utafiti wa kilimo zilizo chini ya Wizara ya Kilimo kwa lengo la kujadili ushirikiano baina yao katika masuala ya udhibiti wa mbolea hususani katika kufanya tafiti na majaribio ya mbolea zinazokusudiwa kusajiliwa nchini. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TFRA, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
27 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imetoa elimu na uhamasishaji kwa wananchi wa vijiji vya Nsongwi Juu, Nsenga na Mbeye I, ili kuimarisha uhusiano na jamii zinazozunguka miradi ya jotoardhi ngozi. Ziara hiyo ilifanyika Machi 17 hadi 20, mwaka huu na wakazi wa maeneo hayo kunufaika na elimu iliyotolewa na kuonesha utayari […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...