FEATURE
on Feb 8, 2025
92 views 3 mins

Na Mwandishi wetu, Bariadi -Simiyu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Simon Simalenga amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wafugaji wilayani humo kuchungia mifugo ndani ya Hifadhi hususani Pori la Akiba Maswa huku akisisitiza kuwa wilaya hiyo sio sehemu salama kwa watu wanaofanya ujangili na  wanaovunja sheria, kanuni na taratibu  zilizowekwa kwa ajili ya kulinda […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
92 views 2 mins

📍 Mikakati kamambe ya kutanua wigo wa soko la Utalii  yasukwa Na Beatus Maganja Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 06, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale  Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Mkoani Lindi ikiwa ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
81 views 31 secs

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi  amewahimiza Wafanyabiashara  kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  na kufanya Biashara kwa Uadilifu na kuwa na Huruma  kwa Wananchi. Alhaj Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na  Waumini wa Dini ya  Kiislamu  wa Masjid Jibril Mkunazini alipojumuika katika Sala ya Ijumaa. Aidha Alhaj Dkt.Mwinyi amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
73 views 2 mins

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipitisha taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu shughuli za kamati hiyo kwa kipindi cha Februari,2024 hadi Januari, 2025 huku likiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya maboresho katika Sekta ya Maliasili na Utalii. Akizungumza katika Mkutano wa 18, Kikao cha 9 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
88 views 2 mins

📍 Wanafunzi, Walimu waipongeza Serikali. Na  Mwandishi wetu – Simiyu SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Shillingi Millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi Mkoani Simiyu hatua inayolenga kuboresha mazingira ya elimu kwa shule zinazozunguka Pori la Akiba Maswa kama sehemu ya ujirani mwema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 6, 2025
117 views 27 secs

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2026 kwa gharama ya shilingi bilioni 336. Bwawa hili linajengwa kwenye mkondo wa Mto Ruvu na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 5, 2025
78 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _•       Waanza ujenzi wa Zahanati kuondoa kero kwa wananchi_ _•       Wasaidia upatikanaji wa urahisi wa kokoto katika marekebisho ya ujenzi wa barabara ya Iringa, Dodoma_ MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 5, 2025
74 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme inapotekelezwa ili kuepuka gharama inayoweza kutokea pale miradi inapokuwa imekamilika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 05 2025 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 5, 2025
69 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tarehe: 04 Februari, 2025; Dodoma.Katika kuendelea kuboresha usambazaji wa taarifa za hali ya hewa kwa jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetembelewa na Wataalamu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Uhifadhi wa Mazingira na Maendeleo ya Kiuchumi la EMEDO ambalo linalojihusisha na uhifadhi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 5, 2025
70 views 2 mins

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezielekeza halmashauri zote nchini kuchukua jukumu la kulinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi zake. Ameyasema hayo leo Februari 4,2025 Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu swali la Mhe. Mhandisi Ezra John […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...