FEATURE
on May 15, 2023
242 views 2 mins

Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia kuendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazowakibili. Wamefikia uamuzi huo leo (Jumatatu, Mei 15, 2023) baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika katika soko hilo na kuzungumza nao kufuatia mgomo ulioanza mapema Mei 15, 2023 ambapo walilalamikia […]

FEATURE
on May 15, 2023
247 views 16 secs

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikata utepe ikiwa ishara ya uzinduzi ya nyumba ya kupumzikia wageni ikiwa ni mradi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.

FEATURE
on May 15, 2023
217 views 4 mins

Wananchi wa Mkoa wa Manyara wameishukuru Taasisi ya MoyoJakaya Kikwete (JKCI) kwa kuwapeleka wataalam wa afya mabingwa wa moyo kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo.Hayo yamesemwa na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Hospitali ya RufaaMkoa wa Manyara (MRRH) kwa ajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalum yasiku tano iliyoanza leo ikifanywa […]

FEATURE
on May 15, 2023
234 views 40 secs

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alikijibu swali, bungeni jijini Dodoma. Serikali imesema kuwa imeanzisha kitengo maalum kinachosimamia biashara za mtandao, ikiwa ni pamoja na kubuni na kuboresha mifumo ya usimamizi wa biashara za mtandao ili kuwezesha utambuzi, usajili na ukusanyaji wa kodi stahiki. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na […]

FEATURE
on May 15, 2023
264 views 41 secs

Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mtoto kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography) mara baada ya kumaliza kutanua Valvu ya moyo […]

FEATURE
on May 15, 2023
272 views 24 secs

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasili wilayani Bukombe akiongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) tayari kwa kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Wilaya ya Bukombe pamoja na uzinduzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano wa CCM Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita.

FEATURE
on May 15, 2023
342 views 55 secs

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland \”An Garda Síochána\” na kukutana na Deputy  Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]

FEATURE
on May 15, 2023
238 views 4 mins

Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya imeagiza mashine Tiba(thermocoagulators) 100 zaidi ambazo zinatarajiwa kusambazwa kwenye vituo vyakabla ya mwezi Disemba 2023. Upatikanaji wa vifaa tiba hivyo utaenda kuongeza wigowa upatikanaji wa huduma ya matibabu ya Saratani ya mlango wa kizazi katika vituo100 zaidi vya ngazi ya msingi ikiwemo hospitali ya wilaya, vituo vya afya […]

FEATURE
on May 15, 2023
366 views 56 secs

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland \”An Garda Síochána\” na kukutana na Deputy  Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]