FEATURE
on May 22, 2023
249 views 19 secs

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023.

FEATURE
on May 22, 2023
445 views 46 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuziwa Mabalozi kama ifuatavyo:i) Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla yauteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi laWanamaji (JWTZ).ii) Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huoMeja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa […]

FEATURE
on May 21, 2023
406 views 6 mins

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi Tanzania (FETA) Dkt. Semvua Mzighani (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Wakuza Viumbe Maji Tanzania (AAT) Dkt. Charles Mahika (kulia), wakitia saini hati ya makubaliano kati ya FETA na AAT ili wafuga samaki kupatiwa mafunzo ya muda mfupi na FETA kupitiaMradi wa Kikanda wa […]

FEATURE
on May 21, 2023
318 views 5 mins

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (nyuma kulia) na mwenzake wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Rahma Kassim Ali wakishuhudia utiaji saini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya ardhi baina ya wizara hizo uliofanywa na makatibu wakuu wa wizara hizo kwenye hafla iliyofanyika jijini Dodoma tarehe 20 Mei 2023. […]

FEATURE
on May 20, 2023
355 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ikulu ya Chamwino huku viongozi mbalimbali wakishuhudiakatika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. […]

FEATURE
on May 20, 2023
243 views 5 mins

Baadhi wa wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (MRRH) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya moyo leo Mkoani Manyara. Jumla ya watu 420 wamefanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo katika kambi […]

FEATURE
on May 19, 2023
351 views 6 mins

Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakifanya upasuaji wa kurekebisha mishipa ya damu ya moyo wa mtoto wakati wa kambi maalum ya siku tano ya upasuaji wa moyo iliyomalizika […]

FEATURE
on May 19, 2023
296 views 2 mins

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma leo Mei 19,2023. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhe. Mary Masanja (Mb) amewaelekeza Askari wa Uhifadhi Kanda ya Kaskazini kuanza zoezi la kusaka fisi wanaovamia makazi ya watu katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. Ameyasema hayo leo Bungeni jijini […]

FEATURE
on May 18, 2023
310 views 6 mins

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe.Fatma Nyangasa akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya wilaya hiyo kwajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tatu ya matibabu inayofanyika wilayani humo. Wananchi wa Kisarawe na wilaya jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma za upimaji, ushauri  na matibabu ya […]

FEATURE
on May 18, 2023
207 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Minara ya kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya Kampuni ya Azam Media kwenye hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi hizo zilizopo Barabara ya Mandela Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri […]