FEATURE
on May 23, 2023
305 views 3 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Leila Edith Mgonya kuwa Jaji wa Mahakama ya […]

FEATURE
on May 23, 2023
325 views 10 secs

Mwenyekiti wa jumuiya ya wanawamke CUF (JUKE) ambaye pia alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Kigoma Kaskazini, Kiza Mayeye amejiondoa rasmi leo kwenye chama cha CUF na kujiunga na ACT Wazalendo. Mayeye amekitumikia Chama Cha Wananchi CUF kwa nafasi mbalimbali tangu mwaka 2011 alipojiunga, mwaka 2020 aligombea Ubunge katika jimbo la Kigoma Kaskazini na kwa matokeo […]

FEATURE
on May 23, 2023
223 views 27 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo ya baadhi ya Wakuu wa Mikoa, uteuzi wa Mkuu wa Mkoa,uhamisho wa Wakuu wa Mikoa na uteuzi wa Mkuu wa Wilaya kama ifuatavyo: Zuhura YunusMkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

FEATURE
on May 23, 2023
248 views 3 mins

Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Kamishina wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Mhe. Zainab Telack akizingua gari kwa Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Lindi ambapo gari hilo limetolewa na  Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) limekabidhiwa wakati wa Jukwaa la Ushirika la Mkoa wa Lindi lililofanyika Mjini Lindi likiwa na kauli mbinu […]

FEATURE
on May 23, 2023
396 views 3 mins

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa 12 kwa tuhuma zakufanya vurugu pamoja na uharibifu wa vitu mbalimbali na kupelekea mtummoja kufariki dunia.Akitoa taarifa hiyo leo Mei 22, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa ArushaACP Justine Masejo amesema mei 22, 2023 muda wa saa 5:40 asubuhihuko katika Kitongoji cha Magomeni kijiji cha Jangwani eneo la […]

FEATURE
on May 23, 2023
302 views 2 mins

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda akizungumza katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara yake tarehe 22 Mei 2023 jijini Dodoma. Naibu waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amesema watumishi wa sekta ya ardhi nchini wanao wajibu katika utendaji kazi na dhana nzima ya […]

FEATURE
on May 23, 2023
243 views 2 mins

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa   Katika kuhakikisha Sekta ya Usafiri kwa njia ya maji unaimarika Serikali Kupitia Kampuni ya huduma za Meli imedhamiria kujenga meli tatu mpya katika Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika baada ya kukamilisha taratibu za zabuni kwa ajili ya kumpata mkandarasi wa ukarabati wa meli ya MV. Liemba. […]

FEATURE
on May 23, 2023
313 views 3 mins

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akiongea na watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Fatma Hamad Rajab. Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence […]

FEATURE
on May 22, 2023
252 views 55 secs

Serikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022/23, miradi ya barabarakuu iliyopangwa kutekelezwa ni ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabarazenye urefu wa kilometa 470 pamoja na ukarabati kwa kiwango cha lami wabarabara zenye urefu wa kilometa 33. Aidha, kazi nyingine ni kuendelea na ujenzi wa madaraja makubwa matatuambayo ni Daraja la JPM (Kigongo – […]

FEATURE
on May 22, 2023
436 views 3 mins

VIPAUMBELE VYA MPANGO NA BAJETI YA SEKTA YA UJENZI NAUCHUKUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24Sekta ya Ujenzi(i) Kuanza ujenzi wa miradi saba (7) ya barabara yenye jumla ya kilometa 2,035 kwakutumia utaratibu wa Engineeering Procurement Construction and Finance ( EPC+F).(ii) Kuanza utekelezaji wa ujenzi wa barabara kutoka Kibaha – Chalinze – MorogoroExpressway yenye urefu wa […]