FEATURE
on Jun 26, 2023
350 views 3 mins

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi,

amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo. Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 26, 2023
232 views 3 mins

Naibu katibu mkuu wa wizara ya viwanda na biashara

Dr.Hashili Abdallah amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan,kwa jitihada zake za kuifungua nchi ambapo tumeshuhudia ujio wa wawekezaji mbalimbali kutoka nje ya nchi wakija kuwekeza hapa nchini. Miongoni mwa jitihada za makusudi zilizotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita ni pamoja na kufanya mapitio ya Sera, Sheria […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 26, 2023
279 views 2 mins

 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo tarehe 24, Juni 2023 imetekeleza wajibu wake kwa jamii kwa kufanya usafi katika Soko la Buguruni, Ilala jijini Dar es Salaam. Katika kutekeleza zoezi hilo BRELA imetoa vifaa mbalimbali vya usafi na kuungana na wafanyabiashara wa soko hilo kufanya usafi. Akitoa salam za Afisa Mtendaji Mkuu […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 25, 2023
259 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia

Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu waliopo kwenye Banda la Maonesho la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kuhusiana na kazi mbalimbali ambazo Mamlaka hiyo inafanya katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 24, 2023
195 views 3 mins

Msemaji mkuu wa serikali Leo tarehe 24 jumamosi juni 2023 ameongea na waandishi wa habari Katika ofisi za idara ya habari maelezo zilizopo posta Jijini Dar es salaam Akizungumzia juu ya maswala ya uwekezaji bandarini. Msigwa amesema Hali ya nchi yetu Kwa ujumla ipo shwari serikali inazidi kutoa huduma za kijamii kama kawaida ambazo ni […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 24, 2023
223 views 3 mins

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo leo ijumaa ya tarehe 23 juni 2023

amewatembelea wafanyabiashara WA soko la karume la mchikichini lililopo Jijini Dar es salaam kutatua changamoto za wafanyabiashara Mkuu wa wilaya amesema Kuna vizimba Zaidi ya 2400 kungekuwa hakuna vizimba hivyo ingekuwa watu 2400 hawana kazi nawapongeza nyie watu 2400 mumeajiri na […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 24, 2023
404 views 4 mins

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imekamilisha ujenzi wa bomba kubwa la kusafirisha nishati ya gesi kutoka kwenye meli bandarini kwenda kwenye kiwanda cha gesi ya kampuni hiyo kilichopo eneo la kigamboni jijini Dar es Salaam na hivyo kupunguza muda wa kupokea gesi bandarini. Kukamilika kwa ujenzi wa bomba hilo kubwa lenye ukubwa wan chi 10 […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 23, 2023
394 views 3 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Katika mazungumzo hayo Makamu wa Rais amesema serikali ya Marekani kupitia USAID imekuwa mdau muhimu […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 22, 2023
202 views 34 secs

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi na kwa haraka kuhusiana na tukio la kupotea kwa binti Esther Noah Mwanyiru ambaye alikuwa akisoma shule ya sekondari ya Panda Hill mkoani humo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Juni 22, […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 22, 2023
454 views 4 mins

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amefanya mahojiano na waandishi wa habari Katika ofisi zake Leo tarehe 22,2023 zilizopo Jijini Dar es salaam Akizungumzia mambo mbalimbali yakihusiana na mambo yake ya kazi na Moja ya mambo hayo na uwekezaji wa bandari akitoa ufafanuzi Wakati shughuli ya sakata la bandari likiwa linaendelea kila Kona watu […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...