FEATURE
on Feb 24, 2025
44 views 3 mins

๐Ÿ“ŒNi mradi wa Agri- Connect uliofungua fursa za kiuchumi Mbozi, Songwe Walanguzi wa mazao ya wakulima wa kahawa, mahindi, mbogamboga na karanga wameondoka baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Ilolo-Ndolezi yenye urefu wa Km 11.01  kwa kiwango cha lami katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2025
64 views 2 mins

โ– Ahimiza  Wazazi kusimamia elimu ya watoto wao ipasavyo Na.Mwandishi Wetu -SUMBAWANGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe.Deus  Sangu ameonesha kuumizwa na mwitikio mdogo wa elimu Mkoani Rukwa  huku akiwaonya wazazi wenye tabia ya kuwaelekeza watoto wao  kujikosesha au kuchora picha katika  mitihani yao kwa lengo la kujihusisha na shughuli za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2025
37 views 2 mins

Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha Mkandarasi Bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme, katika Tuzo za Zanzibar International Construction Awards (ZICA) zilizofanyika Februari 22, 2025, Zanzibar. Akizungumza wakati akikabidhi Tuzo kwa Washindi, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 23, 2025
46 views 43 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒAagizaย  wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi ๐Ÿ“ŒAwataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini. Hayo ameyasema leo Februari 23, 2025 na Kapinga wakati akizungumza na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 23, 2025
53 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGAย  -MAJALIWA _โ–ช๏ธAsema ushiriki wa Rais Dkt. Samia kwenye tuzo hizo ni kielelezo cha namna anavyothamini na kuiishi Imani ya Dini ya Kiislam na uhifadhi wa Qurโ€™aan_ _โ–ช๏ธAsema tuzo hizo zinaimarisha imani ya dini na uwezo kwa vijana._ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kufundisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 21, 2025
68 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mageuzi Makubwa ya STAMICO Yapelekea Kujitegemea Kiuchumi*_ ๐Ÿ“ย  *Mbeya,* Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amepongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kuwa mfano bora wa utekelezaji wa ajenda ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia nchini. Amesema kuwa STAMICO imeonyesha mwelekeo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 21, 2025
51 views 4 mins

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kuingiza jumla ya Dola za Kimarekani 968,000 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 2.5 kama ada ya vitalu vya uwindaji wa kitalii kwa mwaka pamoja na mapato mengine. Hayo yamesemwa leo Februari 21,2025 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 21, 2025
56 views 4 mins

Na Lusungu Helela- IRINGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Iringa huku akiitaka Mikoa mingine kuiga mfano wa Iringa kwenye matumizi bora ya  fedha za Mfuko huo. Mhe.Sangu ametoa  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2025
73 views 3 mins

๐Ÿ“ Zaidi ya Fisi 16 wavunwa. Na Mwandishi wetu, Simiyu. Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa baada ya fisi 16 kuvunwa ikiwa ni hatua muhimu iliyochukuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii ya kuhakikisha usalama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 19, 2025
73 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri,  zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamejiri leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam katika kikao kati ya  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...