FEATURE
on Jul 18, 2023
292 views 30 secs

MWENYEKITI wa zamani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salum amefariki dunia leo. Taarifa zinaeleza Jecha Salum amefariki akiwa katika Hospitali ya Lugalo Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar. Ikumbukwe mwenyekiti huyo aliwahi kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Mwaka 2020, Jecha alichukua fomu ya kugombea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 17, 2023
449 views 35 secs

Kufuatia tukio alililolifanya Mwalimu Sabina Haule kutoka shule ya Sekondari Loleza la kuwalaza wanafunzi Darasani na kupelekea Mkuu wa Mkoa kumuagiza Afisa Elimu kumchukulia hatua Mwalimu huyo hatimae hii leo RC Homera ametangaza kumsamehe Mwalimu huyo na kumtaka achape kazi kwa bidii na kurekebisha baadhi ya changamoto. RC Homera ametangaza msamaha huo baada ya Mwalimu […]

FEATURE
on Jul 17, 2023
257 views 15 secs

MSAJILI wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi amesema vyama vipya vya siasa 18 vimeomba usajili ambapo utaanza kutekelezwa baada ya kuhitimishwa zoezi la uhakiki wa vyama vilivyopo. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kikao kazi na viongozi wa vyama vya siasa nchini ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye uhakiki huo Mutungi amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 17, 2023
316 views 2 mins

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya. Hayo yamesemwa leo Julai 17, 2023 Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji, Tanzania Gilead Teri wakati wa mkutano wa kituo hicho na Jukwaa la Wahariri wa vyombo habari uliofanyika katika ukumbi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 17, 2023
284 views 2 mins

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Bw. Eliakim Maswi wakati akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024. SERIKALI kupitia Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema katika Mwaka wa Fedha 2023/24 imepanga kupunguza siku […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 16, 2023
252 views 2 mins

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amepongeza uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan wa kuunda wizara inayohusika na mipango. Pia, amepongeza hatua ya kuifanya Tume ya Mipango kuwa chini ya ofisi ya Rais ambapo amesema itaongeza kasi na uhakika wa mipango ya maendeleo nchini. Kinana ameyasema hayo jana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 15, 2023
523 views 34 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za haki jinai kufanya marekebisho ambayo hayana gharama za kifedha katika mifumo yao ya kiutendaji ili kuleta haki kwa wananchi. Rais Samia ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa nchini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 15, 2023
719 views 2 mins

Taasisi mpya iitwayo watetezi wa mama wamekuja Moja Kwa Moja Kwa ajili ya kumsapoti Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Katika juhudi zake ambazo anazozifanya Katika serikali yake. Miaka 2 ya mama samia mambo makubwa yamefanyika Kuna miradi ya mikakati tunaule mradi wa mwalimu Nyerere wa umeme rufiji na mradi wa reli SGR wengi tulijua miradi haiwezi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 14, 2023
242 views 3 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kutoogopa kufanya maamuzi yenye nia njema kwa manufaa ya nchi. Kauli hiyo ameitoa leo Julai 14, 2023 Ikulu jijini Dar es salaam wakati akihutubia mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. โ€œLakini niwaombe kwenye nia safi na ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...