FEATURE
on Aug 24, 2023
536 views 2 mins

MKURUGENZI wa kampuni ya vifaa vya ujenzi ya SHEVA HARDWARE MaryStella Temba amewaasa wachimbaji wadogo kutumia vifaa vya usalama sehemu za migodi kwa kufanya hivyo watakuwa salama. Amesema kuwa wamekuwa kwenye biashara hiyo kwa muda mrefu na wamegundua kuwa iko haja ya wachimbaji wadogo kutumia vifaa bora haswa kutoka kwao kwasababubu vinaubora wa hali ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 24, 2023
526 views 3 mins

Jumla ya Vijiji vipatavyo 11 kutoka Kata 4 Naipanga, Chiumbati, Rahaleo na Stesheni Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi vinatarajia kunufaika na mradi wa huduma ya maji safi na salama wa Naipanga wenye jumla ya thamani ya sh.bil.1,187,057,785 Hayo yalibainishwa jana na Meneja wa Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA ) Wilayani hapo na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 23, 2023
357 views 2 mins

ZAIDI ya shilingi bilion kumi na moja zimetumika katika mwaka wa fedha 2021/2022 katika ujenzi wa barabara zinazoelekea katika maeneo migodi Wilayani Rwangwa mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya madini yanayoendelea katika wilaya ya Rwangwa ,Meneja Tarura Wilaya ya Rwangwa Mashaka Narubi amesema kuwa pia mwaka huo huo wa fedha 2021/2022 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 23, 2023
515 views 3 mins

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limewataka wananchi kuwa na vifaa vya kuzimia moto wa awali ili kuokoa maisha ya watu pamoja na kuzuia uharibufu mkubwa wa mali zao hata kabla Jeshi hilo halijafika katika eneo la tukuo. Hayo yamesemwa na Stafu Sajenti Enock Mapunda kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Lindi wakati wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 23, 2023
432 views 15 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amewataka Watoji huduma ya majanga na maaafa nchini watoe Elimu mashuleni na katika vikundi ili kuepukana na majanga mbalimbali yasiendelee kujitokeza Nchini. Wito huo umetolewa katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam kwenye maadhimisho ya siku ya kuwaenzi watoaji huduma hiyo Duniani ambapo Chalamila amewashukuru […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 23, 2023
242 views 2 mins

KATIBU Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Sophia Mjema amewataka wanachama wa chama hicho kuweza kufahamu itikadi na ilani ya chama chama cha Mapinduzi sambamba na Misingi ya chama hicho. Akizungumza katika kikao kilicho wakutanisha wanachama wa chama hicho jijini Dar es Salaam Sophia Mjema amesema kuwa ni vyema wanachama cha Mapinduzi (CCM)wakafahamu wajibu wakuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 23, 2023
332 views 3 mins

KATIKA kipindi cha miaka minne tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) ,asilimia 77 ya wananchi waishio vijijini wamefikiwa na huduma hiyo. Akizungumza katika maonyesho ya Kimataifa ya Madini yanayofanyika katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi,Meneja Uhusiano na Masoko RUWASA Makao Makuu Athuman Sharrif amesema,lengo ni kufika asilimia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2023
447 views 36 secs

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeanza kushughulikia changamoto za wazalishaji wa chumvi nchini kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa chumvi nchini kuwa wa tija na manufaa.Hayo amesema Meneja Uwezeshaji uchimbaji mdogo Tuna Bandoma wakati wa Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji akizungumza katika Kongamano la Wadau wa Chumvi lililofanyika Agosti 21, mkoani Lindi.โ€œMikakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 18, 2023
452 views 4 mins

Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeridhishwa na jitihada za serikali chini ya uongozi wa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Pongezi hizo zimetolewa Agosti 16, 2023 jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatuma Toufiq kwenye kikao cha kamati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 18, 2023
327 views 5 mins

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyowekwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa sekta binafsi yamechochea ukuaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Aidha, Mhe. Ndalichako amesema ukuaji huo umepelekea thamani ya mfuko kuongezeka […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...