FEATURE
on Oct 2, 2023
309 views 3 mins

Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 1725 ambazo zitakabidhiwa kwa chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Hayo yamesemwa Leo na waziri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 2, 2023
363 views 2 mins

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inaandaa mkakati mpya wa ukusanyaji mapato utakaolenga kuongeza mapato ya Taasisi hiyo mara dufu ya makisio yake ya Mwaka wa fedha 2023/2024. Hayo yamesemwa Leo Oktoba 1, 2023 na Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda katika kikao kazi na wakuu wa Kanda na wakuu wa mapori […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2023
494 views 43 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Octoba 1, 2023 amefika eneo la ajali ya moto Kariakoo Jijini Dar es Salaam ambapo janga hilo la moto limetokea majira ya asubuhi na kusababisha kuteketea jengo moja pamoja na baadhi ya bidhaa zilizokuwemo katika Jengo hilo. RC Chalamila akitoa taarifa ya Serikali kufuatia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2023
227 views 2 mins

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2023
529 views 3 mins

*Ujenzi wa daraja la Msangano lenye mita 56 watajwa Wananchi wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe wameeleza kufurahishwa na ujio wa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff aliyetembelea Vijiji mbalimbali vya Wilaya hiyo ndani ya Kata takribani sita na kujionea hali halisi ya ujenzi na matengenezo ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 30, 2023
523 views 2 mins

-MRADI WAFIKIA ASILIMIA 99.7 -MTAMBO MMOJA KATI YA MITATU WAWASHWA Mawaziri wa Nishati kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi  wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mawaziri hao, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo wamefanya kikao cha ngazi ya Mawaziri na kukagua mradi wa umeme wa Rusumo utakaozalisha megawati 80 na kila […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 30, 2023
278 views 2 mins

Tamasha la Ngoma za Asili lijulikanalo kama “ *Tulia Traditional Dances Festival* ” ni kichocheo kikubwa katika kukuza ajira na utalii nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameyasema hayo wakati akihitimisha tamasha hilo lililoambatana na mbio za “Tulia Marathon” lililofanyika leo Septemba 30,2023 jijini Mbeya. “Tamasha hili ni moja ya zao […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 30, 2023
247 views 3 mins

Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana – Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na kusababisha adha kubwa ya usafiri na usafirishaji wa mazao kutoka mashambani hadi sokoni. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Mtendaji Mku wa Wakala ya Barabara za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 29, 2023
239 views 36 secs

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Rais ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Utalii Duniani (World Travel Tourism Council (WTTC) , Bi. Julia Simpson kwa lengo la kujadili namna bora ya kushirikiana katika kutangaza na kukuza utalii endelevu nchini Tanzania. Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 29, 2023
261 views 2 mins

WAZIRI WA Madini Antony Mavunde amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan iko katika mazungumzo baina ya wizara ya Madini na Tanzania Banker’s Association, taasisi zote za fedha (MABENKI), STAMICO na wadau wa sekta Madini kujadiliana ili kuona ni changamoto gani zinazosababisha mchimbaji wadogo wa Madini wasiwe na vigezo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...