FEATURE
on Nov 29, 2023
454 views 3 mins

Na Beatus Maganja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii

Kamishna Benedict Wakulyamba ameeleza kuridhishwa kwake na Kasi ya utendaji mzuri wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA katika kulinda rasilimali za nchi bila kujali vipingamizi vinavyo jitokeza katika utekelezaji wa majukumu hayo ya kitaifa Ameyasema hayo wakati wa ziara yake […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
401 views 2 mins

Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
508 views 2 mins

Kanisa la Spirit Word Ministry lililofungiwa usajili Kwa sababu ya kutuhumiwa

kusapoti maswala ya ushoga na serikali kulifungia kanisa hilo Mnamo Mwezi WA 3,2023 na serikali kusimamisha huduma na kufunga ukumbi waliokuwa wanafanyia huduma Awali serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Kwa kushirikiana na polisi limeweza kumfutia tuhuma hizo baada ya polisi kujilidhisha na […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
322 views 20 secs

Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally’s lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 28, 2023
343 views 39 secs

Na Georgina Misama – MAELEZO Serikali kupitia Tume

ya Mipango imekutana na wanamipango kutoka kwenye Wizara, Idara zinazojitegemea, Mashirika ya Umma na Halmashauri nchini ili kupata mwelekeo wa Serikali katika utekelezaji wa majukumu katika sehemu zao za kazi. Akiongea mapema leo Novemba 28, 2023 Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Lawrence Mafuru amesema kuwa kongamano […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 28, 2023
551 views 2 mins

Taasisi ya Jai ni Taasisi ya kujitolea ambayo inayowasaidia

wagonjwa wasiokuwa na ndugu na wale wasioweza kumudu gharama za matibabu Katika hospital ya Rufaa Mkoa Mwananyamala wilaya ya Kinondoni. Taasisi hiyo ya Jai imeandaa kongamano na ndani yake kutakuwa na harambee ambalo kusudio kubwa ni kuchangia na kuwasaidia waitaji ambao ni wagonjwa wasiojiweza ambao kipato […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 28, 2023
273 views 2 mins

CPC yaahidi kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Uchumi, Elimu na Masuala ya Kijamii Dar es salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 27, 2023
283 views 3 mins

Ataka miradi inayofadhiliwa na Wadau wa Maendeleo pia ifuatiliwe na kufanyiwa tathmini Awaasa Maafisa Mipango kutembea kifua mbele, wao ni wadau muhimu Serikalini Aagiza watoe elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutoa maoni kwa ajili ya maendeleo ya nchi Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 27, 2023
548 views 46 secs

Waziri Ujenzi, Innocent Bashungwa amewahakikishia

Wananchi wa Wilaya Mpwapwa kuwa Serikali ipo mbioni kusaini mkataba wa Ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Kongwa Jct- Ng’ambi -Mpwapwa yenye kilometa 32. Bashungwa ameeleza hayo kwa njia ya simu wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa – UWT, Mama Mery Chatanda […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 26, 2023
296 views 5 mins

Akemea vikali wahujumu wa miundombinu ya umeme,

Asema Serikali iko kazini, Itawashughulikia Ataka TANESCO kusikiliza na kujibu Wateja kwa haraka Asisitiza utunzaji wa Mazingira Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama za kutumia umeme ambapo Shirika hilo […]


Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...