Kampuni ya SUMAJKT Bottling co. Ltd, inayozalisha maji ya Uhuru Peak Pure Drinking Water, imezindua mikondo miwili ya uzalishaji maji na Muonekano mpya wa chupa za maji ya Uhuru Peak, Akizungumza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali CDF Jacob John Mkunda wakati wa uzinduzi wa mikondo miwili ya uzalishaji maji, amesema Serikali ina matarajio makubwa […]
Kero ya kukatika kwa mawasiliano katika Kata za Kisanga, Ulaya na Mikumi kumalizika Kilosa – Morogoro. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Kilosa imedhamiria kumaliza kero ya muda mrefu ya kukatika kwa mawasiliano katika Kata tatu za Kisanga, Ulaya na Mikumi baada ya kukamilisha taratibu zote za ujenzi wa daraja la Mfilisi […]
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dkt. Anthony Diallo wameanza ziara ya kikazi mkoani Katavi. Akieleza kwa nyakati tofauti lengo la ziara hiyo iliyoanza tarehe 14 Oktoba, 2023, Dkt. Diallo amesema, imelenga katika kujifunza namna tasnia ya mbolea inavyosimamiwa, kusikiliza na kutafutia […]
Azindua mtambo mpya na wa kisasa wa mabati ya rangi Ajira 500 kutolewa katika mtambo huo Asisitiza Sekta Binafsi kujenga uchumi imara Imeelezwa kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wenye Viwanda, Wafanyabiashara na Wawekezaji kushiriki katika ukuzaji wa uchumi hususan kwenye Sekta ya Viwanda. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2023 na Naibu Waziri Mkuu […]
Dar Es Salaam Serikali imesema itaendelea kuboresha huduma muhimu katika maeneo ya vijijini ili kuwapa fursa wananchi hasa Wanawake kushiriki katika shughuli za kiuchumi kufikia maendeleo endelevu na jumuishi kwa wote. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari mkoani Dar Es Salaam, Oktoba 12, […]
Awasha umeme Mtanana Kongwa Sasa kijijini kama mjini Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha […]
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Octoba 12, 2023 kwa wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) alipotembelea kuona ufanisi wa mabasi hayo katika kutoa huduma kwa wakazi wa Dar es Salaam. RC Chalamila amesema mtoa huduma amekuwa akilipwa fedha katika mradi huo hivyo sio vema kuwa na […]
TARURA haitosita kuwachukulia hatua wakandarasi na watumishi watakaozorotesha kasi ya utekelezaji wa kazi za ujenzi na matengenezo ya barabara za Wilaya Morogoro Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Morogoro Mhandisi Emmauel Ndyamkama amesema kuwa ataendelea kusimamia ubora wa kazi zinazofanyika katika Mkoa huo kwa kuzingatia matakwa ya mikataba inayosainiwa […]
Asisitiza Watanzania wanataka umeme Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme wa Msongo wa kilovoti 400/220/132/33 wa kituo cha Chalinze umefikia asilimia 84.3 na hivyo kuleta matumaini ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme. Hayo yameelezwa leo Oktoba 12, 2023 na […]
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ( Mb) amekagua jengo la ofisi ya Wizara ya Maliasili na Utalii lililojengwa kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo aliambatana na Naibu wake Mhe. Dunstan Kitandula na Katibu Mkuu, Dkt. Hassan Abbasi amesema kwamba jengo hilo kwa sasa limekamilika kwa asilimia 99.9 na […]