FEATURE
on Feb 26, 2025
63 views 16 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani atoa wito wa kushikamana* Naibu Waziri Nishati,  Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali imeboresha mazingira ya wanawake nchini ili waweze kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kiuchumi, maendeleo ya Tanzania na kushika nafasi za uongozi. Mhe. Kapinga ameyasema hayo alipokuwa akielezea nafasi ya mwanamke katika kuelekea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 25, 2025
127 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Al- Madrasatul An-nujum imeandaa mashindano ya kuhifadhisha Quran Tukufu siku ya Tarehe 2 ya mwezi wa 3 2025 Katika ukumbi wa Dyccc chang’ombe jijini dar es salaam Taasisi hiyo Mpaka Sasa imefikisha miaka 22 tokea kuazishwa kwake Kwa mashindano hayo ya kuhifadhisha Quran Tukufu Kwa vijana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 25, 2025
49 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu- Sumbawanga  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela  amewataka  wanachama wa  Chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Kwela  Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa  kuwa  mstari wa mbele kukisemea Chama  hasa kutambua mambo makubwa yaliyofanywa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 25, 2025
45 views 52 secs

๐Ÿ“Œ *Kituo  kugharimu  shilingi bilioni 50* ๐Ÿ“Œ *Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara Kilindi* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Handeni mkoani Tanga  utakapokamilika utaboreha upatikanaji wa umeme katika Wilaya za Handeni  na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 25, 2025
49 views 33 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Makamu Mwenyekitiย  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Bara, Ndg. Stephen Wasiraย  akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2025
47 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga* ๐Ÿ“Œ *Vijiji vyote 118 vyafikishiwa umeme* ๐Ÿ“Œ *Naibu Waziri Kapinga ashiriki ziara.* Wananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradiย  ya umeme Vijijini ambapo katika wilaya hiyoย  vijiji vyote vimefikishiwa umeme. Pongezi hizo zimetolewa kupitia Mbunge […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2025
45 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais, Dkt. Samia  Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni – Bumbuli – Korogwe (km 77), kwa kiwango cha lami ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo utajengwa kwa awamu. Akihutubia wananchi wa Wilaya ya Lushoto mkoani humo katika mkutano wa hadhara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2025
37 views 3 mins

๐Ÿ“ŒNi mradi wa Agri- Connect uliofungua fursa za kiuchumi Mbozi, Songwe Walanguzi wa mazao ya wakulima wa kahawa, mahindi, mbogamboga na karanga wameondoka baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Ilolo-Ndolezi yenye urefu wa Km 11.01  kwa kiwango cha lami katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2025
56 views 2 mins

โ– Ahimiza  Wazazi kusimamia elimu ya watoto wao ipasavyo Na.Mwandishi Wetu -SUMBAWANGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe.Deus  Sangu ameonesha kuumizwa na mwitikio mdogo wa elimu Mkoani Rukwa  huku akiwaonya wazazi wenye tabia ya kuwaelekeza watoto wao  kujikosesha au kuchora picha katika  mitihani yao kwa lengo la kujihusisha na shughuli za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...