FEATURE
on Dec 2, 2023
380 views 3 mins

Ampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha demokrasia Ahimiza wanaume wakapime VVU, wasitegemee matokeo ya wenza wao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza matembezi ya amani, maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan na kuwataka viongozi wa dini waendelee kusisitiza amani miongoni mwa waumini wao. “Viongozi wa madhehebu ya dini endeleeni kuwahimiza waumini wenu kulinda amani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 2, 2023
341 views 2 mins

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Ndugu Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuliongoza kanisa hilo, kwa mara nyingine. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Jumamosi, Disemba 2, 2023, Askofu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 2, 2023
241 views 3 mins

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Agellah Kairuki ameendelea kuweka wazi fursa mbalimbali zilizoko kwenye Sekta ya Utalii na kuhamasisha wawekezaji wa Kitaifa na Kimataifa kuwekeza katika Sekta hiyo ili kuongeza mapato yatokanayo na Utalii nchini. Ameyasema hayo usiku wa Desemba 1,2023 kwenye ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha, katika hafla ya Epic Tanzania Tour […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 1, 2023
435 views 5 mins

Yabainisha maambukizi mapya kwa watu wazima yanazidi kupungua Kiwango cha kufubaza VVU kimeendelea kukua na kufikia asilimia 78 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI ambayo inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 15 yanaendelea kupungua. “Maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye zaidi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 1, 2023
243 views 16 secs

Na Madina Mohammed MAMLAKA ya mapato Tanzania TRA imetoa Tuzo Kwa Shirika la Taifa la nyumba NHC Kuwa kundi la mashirika ya umma na kuwa mshindi wa kwanza Kwa kuweza kulipa Kodi kwa uwaminifu Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo ijumaa 01,2023 MENEJA wa Habari mahusiano ya shirika la nyumba Ndg.Muungano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 1, 2023
461 views 19 secs

Na Madina Mohammed Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizozi pitia makonda kuendelea kupata Baraka zaidi. Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 1, 2023
291 views 57 secs

Kamati ya siasa ya Mkoa wa Dar es salaam leo Novemba 30, 2023 imefanya ziara ya kukagua barabara zinazojengwa na kusimamiwa na TANROADS ikiwemo hiyo inayotoka Kibamba shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu wa KM 9.2  kwa gharama ya bilioni 2.7 kwa kiwango cha lami. Wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa DSM Mh. Adam Ngalawa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
326 views 44 secs

Arusha Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA ) kwa kazi nzuri wanazofanya na za utekelezaji wa majukumu yake ya kuzifungua barabara nchini. “TARURA mnaupiga mwingi kwenye Ujenzi wa madaraja na barabara za mawe,mfikishieni salamu zangu Waziri wa OR-TAMISEMI,Mtendaji Mkuu pamoja na watumishi wote wa TARURA. Mhe. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
248 views 30 secs

Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yameshainiwa kati ya Waziri a Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza Edward Katumba, makubaliano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaama “ […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
311 views 3 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali iko kwenye maandalizi ya awali ya ujenzi wa kampasi 14 mpya za vyuo vikuu kwenye mikoa ya pembezoni isiyokuwa na vyuo vikuu. Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni Kigoma, Ruvuma, Singida, Mwanza, Kagera, Tanga, Njombe, Tabora, Manyara, Simiyu, Shinyanga, Lindi, Rukwa, na Katavi. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...